Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Mwenye ufahamu na aelewe.
Miaka ya nyuma katika nyumba uani kulikuwa kunachimbwa shimo la Taka. Hili ndo linakuwa sehemu kuu ya kutupia taka.
Sasa hali yetu ilivyo. Kuna shimo la Taka, halafu kuna takataka pembeni ya shimo la taka. Hizi hunuka sana kuchagiza taka zilizomo shimoni.
Takataka zilizopo pembezoni mwa shimo ziingizwe ndani. Kisha shimo lifukiwe.