PostGE2025 Kuna Show ya msanii kutokea hapa Bongo imebuma Texas, Watanzania wanaishi huko wameisusia, Waende wakapige show Dodoma

PostGE2025 Kuna Show ya msanii kutokea hapa Bongo imebuma Texas, Watanzania wanaishi huko wameisusia, Waende wakapige show Dodoma

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kuna hii video ya huyu dada anatokea huko Marekani anadai kwamba moja ya msanii kutoka Tanzania alipaswa kufanya show weekend hii lakini show hiyo imebuma kabisa kutoka na Raia wa Tanzania wanaoishi huko Marekani kucancel tekiti na wale walinunu kuzichana.

Na kuwataka wasanii hao wakapige show Dodoma. Unaweza kusema kwamba watu wameendelea kuwa siriazi kweli hawataiki tena kusapoti machawa wa CCM. Kuna wakati huu wasanii wanapita katika kipindi kigumu lakini ni sehemu yao ya kujifunza. Na hapo badoooo!

 
Ukiachana na sisi walala hoi,wasanii nao wanapitia hali ngumu sana toka 29
Na siku wakitangaza show kwenye miji hizi mikubwa hapa Tanzania, wabishi watakaojifanya kwenda wanaweza kuchomwa kwa petrol humo ndani.

Undama undama tu, sasa ngoja tuoneshane umwamba kidogo.
 
Kuna hii video ya huyu dada anatokea huko Marekani anadai kwamba moja ya msanii kutoka Tanzania alipaswa kufanya show weekend hii lakini show hiyo imebuma kabisa kutoka na Raia wa Tanzania wanaoishi huko Marekani kucancel tekiti na wale walinunu kuzichana.

Na kuwataka wasanii hao wakapige show Dodoma. Unaweza kusema kwamba watu wameendelea kuwa siriazi kweli hawataiki tena kusapoti machawa wa CCM. Kuna wakati huu wasanii wanapita katika kipindi kigumu lakini ni sehemu yao ya kujifunza. Na hapo badoooo!

View attachment 3507011
Wasanii wetu ni machawa
 
Huyo hajasoma Alama za Nyakati.

Unajiita kioo cha jamii, Jamii yako imepata blood shade, Hata kuoneshwa kuguswa hutaki. Ndo kwanza unataka kwenda kupiga show how sasa?

Angekufa Born town, Hapa ungeona mpaka sasa tuna nyimbo 10+ Za kumuenzi, Wamekufa watanzania 10+ Wako sloww and Busy.

liwakute lolote litakalo wakuta
 
Hakuna fanani bila hadhira. Na hata kama utakuwa na hadhira basi ni ile ambayo wanakusapoti na wewe unawasapoti.

Mmelikoroga basi msiache kulinywa!

 
Back
Top Bottom