Kuna shule za English medium za serikali

Kuna shule za English medium za serikali

boseboi

Member
Joined
Jan 22, 2025
Posts
18
Reaction score
64
Habari zenu ndugu zangu naomba kuuliza hivi Kuna shule za English medium za serikali?

Hapa Tanzania kama zipo mnaweza kuzitaja jina na mikoa zilipo
 
Ninayo ifahamu ni Bunju Mkoani wilaya kinondoni dar es salaam
 
Habari zenu ndugu zangu naomba kuuliza hivi Kuna shule za English medium za serikali?

Hapa Tanzania kama zipo mnaweza kuzitaja jina na mikoa zilipo
Yes, zipo.

Miaka ya nyuma kulikuwepo na Shule Moja ipo Arusha, sijui kwa sasa kama itakuwa bado ipo au la. Watu waliopo Arusha wanaweza kutupatia information zaidi kuhusu suala hili
 
Mbeya kuna azimio, mkapa, magufuli, mwashinga & umoja
 
Back
Top Bottom