Yes, zipo.Habari zenu ndugu zangu naomba kuuliza hivi Kuna shule za English medium za serikali?
Hapa Tanzania kama zipo mnaweza kuzitaja jina na mikoa zilipo
Ila kupata chance ni Kipengele inabidi uende umevaa shati la mikoni mirefu.Olympio ipo Ilala CBD Dar
Diamond ipo Ilala CBD Dar
KweliIla kupata chance ni Kipengele inabidi uende umevaa shati la mikoni mirefu.