Kuna siku JF inaachiwa kuna siku inashikwa! Why!?

Wakiwa na ka event wanaiachia ili na wao waje kuzurula humu.

Sijawahi ona akili za kipumbavu namna hii. Wapo tayari kuiachi Facebook ila sio jamiiforums. Akili za kijinga sana kukomoana visasi na roho mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…