Kuna siku karma itaongea kwa chuki na fitina anazofanyiwa kijana huyu!

Mzee hapo repeating views nyingi mno ndomana baada ya miezi hio video itaishia labda 13 to 16m

Angalia video za diamond zina hit 60m to 70 huko nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo zitafika 13 to 16m then zishuke mpaka 6mln!!!!maana repeating views zinakatwa na servers za youtube.

halafu unadhani nyimbo za diomond hazitazamwi kwa kurudia rudia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sawa sijakataa ila naongelea yule mwana alieanza na mifano ya bank nikataka tu kujua ni mawazo yake tu au ni facts.
Pamoja na hayo yule inamana kiba anatumia hii mbinu sana?inawezekana kuliko msanii yyte bongo
 
Hii sawa sijakataa ila naongelea yule mwana alieanza na mifano ya bank nikataka tu kujua ni mawazo yake tu au ni facts.
Pamoja na hayo yule inamana kiba anatumia hii mbinu sana?inawezekana kuliko msanii yyte bongo
hayo ni majibu ya bei rahisi ya wajinga wanataka kujifariji.

video inatoka siku ya kwanza,inafikisha views milioni zinashuka mpaka 700k,lakini baada ya hapo speed ni ile ile ya upandaji na hazishuki tena,mbuzi wanataka mawazo yao yawe facts.

hao robots tuseme wapo mpaka saa hizi tunaandika,je youtube hwawaoni kwa saaa sio[emoji16][emoji16].



Sent using Jamii Forums mobile app
 
I doubt kama umenielewa...

Nilichosema ni kwamba, kuna baadhi ya akaunti zikifika hata Views 10K itaanza kuwa monitored na kuwepo uwezekano wa kuwa frozen. Sasa akaunti inakuwa frozen ili kuangalia kama kuna hizi fake views, na zikikutwa, zinafyekwa!

Na hapa tusisahau njia inayotumika sio ku-freeze (kugandisha kama mnavyoita) bali wakati mwingine wana-slow down view counts. Hapa utakuta views wanapanda kama kawaida bila kugandisha lakini ambacho hamtajua ni kwamba idadi inapanda taratibu kuliko ambavyo ilitakuwa kuwa!

Sasa hicho kipindi cha kupanda taratibu ndicho ukaguzi unafanyika

Hapo ndipo nikaja suala la 500K, mosi, hiyo 500K nimetoa mfano tu na nikasema wazi "nadhani" hizi YouTube Channels zina quotas/categories labda kutokana na historia ya akaunti husika ndo maana wakati zingine ikifika 10K (policy ni Views 300) inaweza ikawa Frozen lakini kwa mtu kama Kiba sio rahisi akaunti yake kuwa frozen kwa 10K kwa sababu 10K kwake ni kitu cha kawaida kwa kuangalia ukubwa wa subscribers wake!

Na hapo ndipo unapokuja mfano wa pesa!!

Kwamba, wakati mwingine aki-deposit 50M atauliza ametoa wapi, mwingine hata aki-deposit 500M hawezi kuulizwa kutokana na historia ya akaunti yake, kama ambavyo Kiba hawezi kuwa frozen hata kwa kupata Views 300K au hata 500K kwa sababu naona issues zake zinaanza akishakaribia au akigonga 1M!

Na hiyo 10M uliyosema, system haiangalii jumla ya views unazozipata kwa videos zako bali activity ya akaunti yako ndani ya muda fulani!

Huyo huyo Diamond anayeonekana mbona hilo tatizo hapati, ikitokea from nowhere ndani ya saa 4 au 5 au hata 10 keshagonga 3M Views lazima account itakuwa frozen bila kujali kwamba ana videos zenye Views zaidi ya 20M. Na hata sasa huenda hilo tatizo linakuwepo lakini badala ya akaunti kuwa frozen inakuwa slowed!
 
Nyuzi za namna hii zinapaswa kuwekwa kwenye jukwaa la vichekesho. N hoja zisizo make sense, n upuuzi.
Kwanza ata kama hizo tuhuma zingekua kweli, mwanaume unaanzaje kulia lia kila siku kilio hicho hicho, badala ya kupambana jino kwa jino kufumbua tatizo hili lisijitokeze tena. Fanya uchunguzi gundua tatizo fanya maamuzi ya kiume tatizo liishe, allah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Google / youtube wanaweza wakawa













mapimbi kias kwamba vilaza wa







kusin mwa jangwa la sahara waw


eze ku manipulate systems zao ili kumkomoa toz wa kariakoo









Najiuliza tu
sijui wanawaona wenye
google na youtube babu zao???

Namimi najiuliza pia
 
we simbilisi kweli, kama uko vema kichwani hakuna anayelia hapa......tupo katika mshangao tu na kutaka kulielewa kitaalam. kupitia uzi huu naamini hata wewe umejifunza kitu kupitia michango ya kna chige & co. isitoshe mkazo ulikuwa kwenye kwanini mtu fulani anafuatwafuatwa tu kila akitoa kazi yake wakati ye haonekani akiwafuata wengine kinamna yoyote ile?!!!
 
Watu mnalalama kana kwamba Youtube ni kampuni ya kitanzania, na inaendeshwa kutoka Tanzania.

Mtu tu hata ukiwa na malalamiko juu ya Video fulani ni mpaka uwasiliane na makao makuu, na wakijiridhisha ndio wanaiondoa.

Hivi mambo haya yangekuwa ndani ya uwezo wa kila Mtu si tungetesana sana?.

Na kama Mtu unadhani kuna tatizo kwa nini usiwasiliane na Yuou tube makao makuu badala ya kulalamika tu hadharani?
 
Na yule jamaa alivyo kilaza badala ya kufuatilia hilo analoona ni tatizo anaanza kuzungumza moja kwa moja na mashabiki kwamba kuna watu wanaleta figisu kwenye views nikaona hapa tuna baadhi ya wasanii wetu hapa bongo ni matikitimaji.
 
Ndo najiuliza mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…