Ali kiba amekuwepo miaka 17 iliyopita ni baba wa diamond kuwa kusign wimbo wake wa kwanza kabisa kwenye studio ambaye yeye alikuwa director!!! msijisahaulishe nadhani historia hii huwa mnaikwepa kuwa kwenye studio ya Bob Junior ambayo diamond alienda akiwa ana rap aliambiwa aimbe!!! ALI KIBA Kamfundisha vocal na punch DIAMOND usijisahaulishe hili pia, htaki kamuulize OMMY dimpoz
Kiba ana washabiki wapenzi na wafuasi, haimbi matusi wala kiki za kimapenzi za kumfanya awe kwenye news.Nyimbo zake zinasikilizwa na kila rika, kila dini na may be mahali popote hata nyumba za ibada. Ila wewe na mama yako hamuwezi kusikiliza nyimbo za diamond kama salome, jeje, kwangaru kama hautakuwa unamdhalilisha mama yako!!!
Kiba alipotea kwenye game kwa miaka 3 akarudi...HAJAWAHI imba nje ya maadhi ya zile nyimbo za asili za kitanzania-bongo flava ina asili ya Tanzania na waanzilishi ndio hao akina akiba akitanguliwa na kaka zake akina dully, domokaya, voice wonder, sumalee, z anto, marlaw, n.k katika stars wa miaka mingi Kiba yumo...Infact kipindi tunakua, KIBA ALIKUWA ANAFANANISHWA NA KILA MTU......na wote hawapo
Kiba alipotea nje ya ulingo wa muziki kwa miaka mitatu na akarudi akashika nafasi yake na yuko hapo alipo!!! YEYE sio mtu wa mashindano, yuko so real and natural na HANA papara wala kufuata mkumbo
wimbo wa dodo NI WA KAWAIDA sana, ila unaona impact yake? wakati asilimia 90 ya wanamuziki wanawaza kuimba ki nigeria akina ALI KIBA wamekomaa local, nyimbo za kawada kabisa na ndio ona watu wake wanaompenda hivyo hivyo ...............HII NI ISHARA mbaya kwa maadui zake, Kiba ni Game changer, anabadilika kila wimbo, anatoa wimbo watu wanapokuwa na hamu nae, hana skendo wa kiki za kijinga
maadui zake wanajua uwezo wake wa kuimba LIVE, kutambaa na bit yoyote ( tafuta nyimbo zote alizishirikishwa...tafuta yeye na bonge la nyau), wanajua ubunifu wake na mvuto wa kuifanya JAMII iimbe na kufuatilia nyimbo zake ambazo KATU hazina matusi!!!! MUOGOPE sana mtu ambaye ana mvuto wa asili na hana matusi wala kufuata kelele za mitandao....huyo mtu ana nguvu za asili
akina Z ANTO, MARLAW, sajna, belle 9, ibrazoma wamejitahidi kurudi na kutoka na nyimbo mpya tena kali,,,,,hauwaoni wala hauwasikii....IT IS ALWAYS THE KING anasikika, hata akikaa miaka 5 siku akiamka, utasikia kaamka...............anapendwa kwa asili yake, kujiheshimu! ,...HIVYO HIVYO unamuona kama mjinga mjinga, mshamba mshamba, ILA ANAPENDWA huyo!!! watu wanampenda genuinely ...ndio maama hata akikohoa leo, nchi nzima italipuka, na kibaya zaidi au kizuri nyimbo zake hazina mvutiko wa matusi..maisha ya kawaida kabisa na juzi Diamond alikuwa akiimba wimbo wa hadith wa ali kiba, wewe mshabiki wake, unajifanya una U TEAM kuliko wcb wenyewe!!!
Kama mama yako anataka mume kati ya ali kiba na dimond najua utampa ali kiba, bisha