Kuna siku karma itaongea kwa chuki na fitina anazofanyiwa kijana huyu!

Labda ngoja nikuambie jambo moja: You're too low to argue with... in short, sina muda wa kubishana na majuha!!
Unaleta humu vitu vya kucopy copy wakikuchalenge unakuja na vingereza vya kitumbafu
 
habarini!
poleni kwa mtikisiko huu wa korona na Mwenyezi Mungu atuepushe, amina! tuendelee kuchukua hatua stahiki tafadhali!

leo ni siku ya 3 kama sikosei nyimbo ya alikiba inatrend namba 01.....views ni kama 1.4M. kuna mambo kidogo yananishangaza:

1. kwanini views za huyu lazima mara zigande au zishushwe? tangu alipovunja rekodi 2017 na 'seduce me' ni kama kuna mtu 'asiyejulikana' anamfuatilia kwa karibu sana......alipojaribu kutoa mvumo wa radi 2018 kuna mambo kama hayo yalitokea.....zikisogea basi husogea taratibu sana. nina uhakika, siku tatu kitu kutrend namba moja kwa upande ule stori ingekuwa kubwa sana na views zingesogea kwa kasi mno. kuna nini?!!!!

2. akitoa nyimbo watu humfuata sana na kujaribu kumponda kwa kila namna tofauti na wengine. alipotoa seduce me na wengine nao wakaachia muda huo huo ili kujaribu kuipoteza. alipotoa mvumo wa radi mtu fulani alisikika akisema, 'tunamkaushia ili ibume'.....baadae views zikaanza kuganda. ametoa dodo juzi, kuna mtu sijui meneja au prodyuza analeta vijembe na mafumbo eti 'kipindi hiki cha corona watu wanahitaji za kucheza na hatutaki maqaswida'......sijajua ye inamuathiri vp na kwanini afuatilie. ukiacha hilo, kuna mtu alikuwa anatambulishwa siku hiyohiyo alipokuwa anazindua nyimbo yake. sijawahi kusikia alikiba akisema chochote kuhusu wao wanapotoa kazi zao au hata bila kutoa kazi zao zaidi ya kujaribu kujibu tu pale anapotajwa. humu leo umefunguliwa uzi ukisema, 'huyu ndo.......!' zimemwagwa sifa zake humo kedekede. thread ililetwa km jaribio la kutaka kupoteza habari za dodo!

3. kuna ajabu gani ya kumtumia mobeto?!! eti nyimbo imepata umaarufu sababu ya mobeto. nikikumbuka mwaka jana alikiba alipofanya ziara kule tabora na umati ambao ulikuwa unampokea na kumsimamisha humo njiani, nabaki najiuliza hivi na hamisa mobeto nae ni hivyo hivyo? haya tufanye mobeto ni maarufu kuliko kiba, sasa kuna ubaya gani wa kumtumia mtu maarufu ili nawe upate umaarufu? kwani muziki si biashara jamani?!!! sasa mnataka amtumie joanah wa jf ili nyimbo yake iambulie 1k mwaka mzima?!!!

4. kwanini watu wahangaike na mtu asiyejua kuimba/aliyeishiwa/aliyechuja kama inavyosemwa?!! ninapata hisia kuwa kuna mtu ana roho mbaya kwelikweli licha ya mafanikio lukuki aliyonayo. hapendi kabisa kuwaona wengine nao wakijipatia ugali wao. inawezekana yale malalamiko ya penseli yana maana kubwa sana!. hii ni hatari sana!

many are the plans in a man's mind, but it's the God's purpose that prevails! tutajikuta tunaendelea kushangaa tu jamaa hapotei kama matamanio yetu yanavyotaka!
Kaka chukua azam embe kubwa nakuja kulipa..na yule mtoto wao matarajio yamekuwa tofauti kagota trending namba mbili hadi sasa walitegemea fitna zingewabeba wamefel mzee wa DODOO anatafuta mil 2 mana by now ana kama 1.7 dogo ndo kwaaanza 1.1 hizo laki 6 zitachomok na damu,wanataka wasikike wao tuu wanajifanya wamehodhi bongofleva ni Mali yao na kimsingi si bongofleva maana wanakopy naija, na kwa UTAFITI WANGU ALIKIBA NDO THREAT KUBWA KWAO hii unaeza ona hawana habari na belle,Ben pol,Barnaba,Marioo wala nan zaidi now kaongezeka na MMAKONDE nae ni THREAT kwao, watahangaika bt Kiba ni pure talent hakuna ujanja ujanja na ana BASE YA HATARI mno ni vile tu jamaa mpole kama nakuwa mm nanyoosha kunguru wale hadi wataje aloleta corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo maswali unayojiuliza kuwa huyo kijana wako watu wanafanya na kusema basi tambua hata kuna vijana wengine nao wanafanyiwa hivyo hivyo. Naona mnatafuta huruma za watu pambaneni na hilo suala la views mbona limeshatolewa maelezo sana au ndio mnachagua cha kuelewa.
Waseme sasa, kama unantatizo na husemi tutajueje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani umepata shida kuelewa hata kiswahili chepesi kilichoandikwa hapo. Rejea tena usome vizuri,kumekuwa na malalamiko la views kuleta shida na maelezo yapo lakini watu wanachagua cha kuelewa kama vile kuna mtu kashika remote control ya youtube.

Mwisho mimi na wewe suala la trendig halina faida labda kama wewe ni meneja wa kijana huyo.
Hakuna faida wakat ndo kipimo chenu cha ubora na ukubwa wa ngoma nyie jamaa acheni ukinyonga now mmeona n mzee wa dodo yupo trending mnaikana trending hahahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiongozi inaonekana mashabiki wa wasanii wengine wako na elimu sana kiasi kwamba views zao hazigandi au kushushwa hata kidogo kupisha hao kina 'bots'!! hii inakuaje?!!
Wasanii wengine akina nani?!

In short, Wasanii wa Bongo wakijiona wanafeli tu lazima wasake mchawi!

Tuliwahi kumsikia Aslay akidai anahujumiwa, Harmonize na mwenyewe wiki chache zilizopita nae akadai anahujumiwa, huku akisahau kabisa kwamba mashabiki wake wengi hawakuwa mashabiki wake per se bali ni mashabiki wa Diamond!!!

Juzi juzi tu hapa kuna msanii mmoja, nadhani ni wa kike nae eti akadai anahujumiwa... yaani wakifeli, wanakimbilia kulia wanahujumiwa!!

Btw, nimekuwekea hapo maelezo ya Google wenyewe wakisema sababu zinazopelekea akaunti kuwa frozen kwa muda, kama mnaona Kiba anahujumiwa, kwanini basi msipeleke malalamiko?!

Hakuna hata mara moja Kiba atoe wimbo watu wasilalamike kuhujumiwa, tena wakati mwingine management yake ndiyo inalalamika!! Seven kashalalamika sana! Hii management mpya na wenyewe tayari wameshaanza kulialia kwamba wanahujumiwa!

Hayo yanatokea wakati Ali Kiba mwenyewe yupo chini ya Sony Entertainment... moja ya lebo kubwa kabisa duniani! Sasa inakuwaje Sony miaka yote hii wanakaa kimya wakati Msanii wao kila akitoa ngoma anahujumiwa?! Hivi inaingia akilini?!

Unajua nyie watu mnachekesha sana!!! Hivi mnadhani ku-hack mtandao kama Google/YouTube ni jambo dogo!!! Hiyo JF yenyewe inabidi ujipange kweli kweli kuweza kui-hack, seuze Google/YouTube!!

Au mnadhani ku-hack YouTube ni kama ku-hack Instagram Account ya Shilole!!

Isitoshe, Kiba mwenyewe anatoa ngoma mwaka mara moja, matokeo yake siku akiachia ngoma mashabiki wake mnakamia... what do you expect?!

Tena si ajabu wakati mwingine mnakamia mkiwa na tamaa afikishe 1M Views ndani ya muda mfupi... mtafyekwa tu!!
 
Google na YouTube wanafanya kazi malaika au binadamu kama ww.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asee google wanalipa ma youtuber mabilion ya dollar world wide kutokana na hizo viewes halafu utegemee simbilis za WCB ziweze kuchezea hio kitu kipimbi tu ili kumkomoa alikiba tuwe serious wazee siku tukipata huo uwezo wachezea hizo systems lazima tutikise dunia achaneni na conspiracy theories
 
habarini!
poleni kwa mtikisiko huu wa korona na Mwenyezi Mungu atuepushe, amina! tuendelee kuchukua hatua stahiki tafadhali!

leo ni siku ya 3 kama sikosei nyimbo ya alikiba inatrend namba 01.....views ni kama 1.4M. kuna mambo kidogo yananishangaza:

1. kwanini views za huyu lazima mara zigande au zishushwe? tangu alipovunja rekodi 2017 na 'seduce me' ni kama kuna mtu 'asiyejulikana' anamfuatilia kwa karibu sana......alipojaribu kutoa mvumo wa radi 2018 kuna mambo kama hayo yalitokea.....zikisogea basi husogea taratibu sana. nina uhakika, siku tatu kitu kutrend namba moja kwa upande ule stori ingekuwa kubwa sana na views zingesogea kwa kasi mno. kuna nini?!!!!

2. akitoa nyimbo watu humfuata sana na kujaribu kumponda kwa kila namna tofauti na wengine. alipotoa seduce me na wengine nao wakaachia muda huo huo ili kujaribu kuipoteza. alipotoa mvumo wa radi mtu fulani alisikika akisema, 'tunamkaushia ili ibume'.....baadae views zikaanza kuganda. ametoa dodo juzi, kuna mtu sijui meneja au prodyuza analeta vijembe na mafumbo eti 'kipindi hiki cha corona watu wanahitaji za kucheza na hatutaki maqaswida'......sijajua ye inamuathiri vp na kwanini afuatilie. ukiacha hilo, kuna mtu alikuwa anatambulishwa siku hiyohiyo alipokuwa anazindua nyimbo yake. sijawahi kusikia alikiba akisema chochote kuhusu wao wanapotoa kazi zao au hata bila kutoa kazi zao zaidi ya kujaribu kujibu tu pale anapotajwa. humu leo umefunguliwa uzi ukisema, 'huyu ndo.......!' zimemwagwa sifa zake humo kedekede. thread ililetwa km jaribio la kutaka kupoteza habari za dodo!

3. kuna ajabu gani ya kumtumia mobeto?!! eti nyimbo imepata umaarufu sababu ya mobeto. nikikumbuka mwaka jana alikiba alipofanya ziara kule tabora na umati ambao ulikuwa unampokea na kumsimamisha humo njiani, nabaki najiuliza hivi na hamisa mobeto nae ni hivyo hivyo? haya tufanye mobeto ni maarufu kuliko kiba, sasa kuna ubaya gani wa kumtumia mtu maarufu ili nawe upate umaarufu? kwani muziki si biashara jamani?!!! sasa mnataka amtumie joanah wa jf ili nyimbo yake iambulie 1k mwaka mzima?!!!

4. kwanini watu wahangaike na mtu asiyejua kuimba/aliyeishiwa/aliyechuja kama inavyosemwa?!! ninapata hisia kuwa kuna mtu ana roho mbaya kwelikweli licha ya mafanikio lukuki aliyonayo. hapendi kabisa kuwaona wengine nao wakijipatia ugali wao. inawezekana yale malalamiko ya penseli yana maana kubwa sana!. hii ni hatari sana!

many are the plans in a man's mind, but it's the God's purpose that prevails! tutajikuta tunaendelea kushangaa tu jamaa hapotei kama matamanio yetu yanavyotaka!
Duh!
Kulalamika nacho ni kipaji eeehh?
Tafuta fact kuhusu YouTube viewers mazee.
Juzi kati Nandela alilalamika kwa hili ila akapata majibu mujarabu kutoka kwa wajuzi.
Tafuta huo Uzi Wa Nandy Nandela akipewa majibu yatakusaidia kupunguza lawama za ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nyimbo nimeisikiliza zaidi ya mara kumi sijashika hata sentensi moja I mean haijanibamba na wala siisikii mitaani.

Nilichogundua wale viewers ni muendelezo wa kutumia nyota ya diamond natamani nyimbo ijayo ya alikiba vixen atakuwa zari
,wema ,etc ile nyimbo hata mitandaoni hawajadili content ya wimbo Bali uzazi mwenza wa diamond.
Na diamond kwenye washauri amejipanga amemnyima jamaa kiki kabisaaaaaaaaaaaa yaani kama haoni .

Aidha alikiba anajua vizuri kuwa hakuna mtu anaweza hick youtube Africa inalindwa na technology za juu hata meneja wake amekiri ni mambo ya kawaida ila ili awe midomoni mwa watu lazima watumie ujinga wa mashabiki kuwa na huruma kuwa mondi mbaya sana .
Ona nyimbo ya mshumaa yaani hadi ukiisikia unafurahi simba bila makiki wala tension .ila akiendelea na huu mtiririko wa kutumia nyota ya tandale watakuja kushindana na kina ibraah wa harmonise
 
Hivi mkuu kulikuwa na haja gani ya kuweka Neno diamond kwenye uzi wako?

Mbona ungecriticise nyimbo au msanii husika tungeelewa poa? Sikupangii cha kuandika though

Alafu keep your records straight. Kiba alishamtumiaga mobeto ka video queen a long time ago kabla hata ishu yake na simba. Haya ni marudio tu

Anyway Sijui hata Kwanini nimejibu Huu Uzi wako. Wanasemaga Chuki humchoma anayeiihifadhi au siko Sawa?
 
Kiba mwenyewe anajijua kama kafilisika kimuziki.. na ndio mana anatumia kiki kama za akina meja kunta na dula makabila, anachokifanya anakijua na ndio maana kamuweka hamisa mobeto kwenye wimbo wake mpya. King kaamua asafarie nyota ya tandale unafanya mchezo na simba.
 
Hivi mkuu kulikuwa na haja gani ya kuweka Neno diamond kwenye uzi wako?

Mbona ungecriticise nyimbo au msanii husika tungeelewa poa? Sikupangii cha kuandika though

Alafu keep your records straight. Kiba alishamtumiaga mobeto ka video queen a long time ago kabla hata ishu yake na simba. Haya ni marudio tu

Anyway Sijui hata Kwanini nimejibu Huu Uzi wako. Wanasemaga Chuki humchoma anayeiihifadhi au siko Sawa?
Asante kwa kutonipangia
 
Hii nyimbo nimeisikiliza zaidi ya mara kumi sijashika hata sentensi moja I mean haijanibamba na wala siisikii mitaani.

Nilichogundua wale viewers ni muendelezo wa kutumia nyota ya diamond natamani nyimbo ijayo ya alikiba vixen atakuwa zari
,wema ,etc ile nyimbo hata mitandaoni hawajadili content ya wimbo Bali uzazi mwenza wa diamond.
Na diamond kwenye washauri amejipanga amemnyima jamaa kiki kabisaaaaaaaaaaaa yaani kama haoni .

Aidha alikiba anajua vizuri kuwa hakuna mtu anaweza hick youtube Africa inalindwa na technology za juu hata meneja wake amekiri ni mambo ya kawaida ila ili awe midomoni mwa watu lazima watumie ujinga wa mashabiki kuwa na huruma kuwa mondi mbaya sana .
Ona nyimbo ya mshumaa yaani hadi ukiisikia unafurahi simba bila makiki wala tension .ila akiendelea na huu mtiririko wa kutumia nyota ya tandale watakuja kushindana na kina ibraah wa harmonise
INAYEMBEA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom