Kuliko yeye, "yeye nani"?! Na kujua nini?!
Sasa anawezaje kuwazidi wakati umeshasema anahujumiwa?!
In short mashabiki wa Kiba mnapenda kulia lia na wala hamjui system ya YouTube inafanya vipi kazi!!
Hakuna suala la kuganda... hicho mnachoita kuganda ni jambo la kawaida kupitia YouTube! Inavyokuwa ni kwamba, YouTube wanatumia bots (software) kukagua akaunti mbalimbali za YouTube, na hiyo kazi ni 24/7!
Hawa bots hawakagui accounts za Kiba ambae hata kumjua hawamjui bali wanapitia accounts mbalimbali! Bots zikikuta kuna suspicious clicks, accounts huwa zinakuwa "in hold" ku-evaluate fake na real views!
Lakini hata account ikiwa in hold, Views counting inaendelea "back office"!
Kama kuna fake views, zinafyekwa kisha akaunti inaendelea pale ilipoishia na itajumlisha views zote zilizokuwa counted back office!
Assume akaunti ilikuwa "on hold" wakati ina Views 900,000 na back office zika-count new real views 80,000 lakini katika kukagua zile 900,000 ikaonekana 10,000 ni fake!
Akaunti ikisharudi kwenye hali yake, itaonesha Views 900,000 - 10,000 +80,000 = 970,000!!
Kwa watu wa IT na Digital Marketers wanaifahamu vizuri sana website ya Hubspot! Msome hapa
mmoja wa watumiaji wa huo mtandao akizungumzia hilo suala:-
Na Google wenyewe wanazungumzia hilo suala:-Kwahiyo hayo madai yenu ni porojo na hilo suala linaweza kutokea kwenye akaunti yoyote!!
Au pitia kwenye quora
hapa, na hapo kwa chini utakuta posts kibao raia wakijadili hilo suala.
Na YouTube wanafanya hivyo kwa sababu kampuni zinatumia millions of dollars kuweka matangazo yao YouTube!! So, hili kuhakikisha matangazo yao yanaonekana na watu halisi na sio "watu fake/Fake Viewers" ndo hapo Google/YouTube walipotengeneza algorithm zinazopitia hizi accounts 24/7 kuhakikisha no fake views!!