Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Nimeshangaa kusikia wasiojulikana wanamtishia maisha mmiliki wa jukwaa la JamiiForums.
Huko nyuma Mama aliwahi kusikika hadharani kuwa huwa akisoma maoni ya watu JamiiForums anabaki kucheka tu.
Akasifia kuwa sasa hivi habari nyingi zinapatikana kupitia JamiiForums kuliko hata magazeti na vyombo vya habari.
Haraka haraka nikajua kuwa huwa anaingia humu kusikiliza kero za wananchi.
Hii ya mtu kutishiwa kuwa atapotezwa na kusahaulika kwa yanatoka wap? Kama jukwaa linaweza kusaidia umma kupaza sauti zao?