Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona kawaida nawenyewe wana maisha yao nje ya kazi zao.Hawa vijana wataweza , Kuanticipate outcomes za wagonjwa na kuto improvise accordingly .
View attachment 3077165
hili si zwazwa linawaza kazi 24/7 kama watu hawana maisha mengine vile!Mkuu mbona kawaida nawenyewe wana maisha yao nje ya kazi zao.
Ni kwel. 😂😂😂.Mkuu mbona kawaida nawenyewe wana maisha yao nje ya kazi zao.
Kwa namna ulivyoandika, kama ulifika chuo basi hukuelimika. Unadhani kuchanganya kiigereza na kiswahili watu watakuona una hoja.Hawa vijana wataweza , Kuanticipate outcomes za wagonjwa na kuto improvise accordingly .
View attachment 3077165
Watanzania wengi mnaamini kwamba kuwa serious sana ndiko kunakufanya uwe na akili na kujua sana vitu. Dunia inabadilika siku hizi watu wako serious ila wana react casual tu. Ni mitandao tu mkuu usiwachukulie serious sana.Hawa vijana wataweza , Kuanticipate outcomes za wagonjwa na kuto improvise accordingly .
View attachment 3077165
Thread iishie hapaNi kwel. 😂😂😂.
Sema ni vile kuna ethics za ki kada ambazo kiukwel ukishanganya na maisha yako binafsi (kitu ambacho hakiathiri utendaji) unajikita watu wanavurugwa.
Ujue jamii inaheshimu sana madaktari na kuwachukulia kama watu wanaopaswa kuwa serious all the time, and they are right..
Ni kama vile ambavyo zaman tumekua na fikra hiz kwamba mchungaji huwez kudhan naye huwa anakula mbususu na kutumia syle mbali mbali na yoote hii ni kutokana na eneo la specialization yao inavyo wa potray.
Sasa akina gigy money warekod music clips wakicheza na madaktari nao wafanye hivyo aaaahhhhh!!!!!😂😂😂😂
Duniani tunapita tu, ukipata nafasi ya kufurahi furahi, tasnia isikufanye ukauugua magonjwa ya akili, ili mladi usitende Dhambi kwa Mungu wako, wakati wa kucheza cheza saaaaana ,wakati wa kutibu akija mgonjwa mtibu kwa Upendo mpaka amshangae Mungu ni kwa Nini amekuleta kwenye matatizo yake, hayo mengine ni kuwekana kwenye gereza lisilo na vyumaNi
Sasa akina gigy money warekod music clips wakicheza na madaktari nao wafanye hivyo aaaahhhhh!!!!!😂😂😂😂
Kwenye timu ya taifa ya Tanzania au unamanisha nchi zingine hearsay tu,........nitajie dakitari moja katika ligi kuu ya England anae cheza mpira mkuu, kuna kozi zingine hubakizi mda wa mazoezi ya kutoshaUnakuza mambo.
Kwenye mashindano ya Olimpic kulikuwa na madaktari ila wapo kwenye timu za taifa za michezo isiyohusiana na udaktari wao.
Kuna mpaka ma Daktari wanaofanya kazi hospitali na bado wanacheza soka ama michezo mengine kwenye timu za taifa lao kabisa. Na world cup wanaenda na timu zao
SAwa.. wangezingatia ushauri wako hapo nilipo bold, naamini wasinge record hii kitu. Maana under spiritual morals/ethics/conducts, this is already not right.Duniani tunapita tu, ukipata nafasi ya kufurahi furahi, tasnia isikufanye ukauugua magonjwa ya akili, ili mladi usitende Dhambi kwa Mungu wako, wakati wa kucheza cheza saaaaana ,wakati wa kutibu akija mgonjwa mtibu kwa Upendo mpaka amshangae Mungu ni kwa Nini amekuleta kwenye matatizo yake, hayo mengine ni kuwekana kwenye gereza lisilo na vyuma
Whats wrong with this wakati hiyo ni thearapy ya kutibu stress za vitabu na boredom ili ubongo urudi upya, hujawahi kuona disco ya mapadiri wakicheza na watawa, tena ile dance ya mpaka chini.SAwa.. wangezingatia ushauri wako hapo nilipo bold, naamini wasinge record hii kitu. Maana under spiritual morals/ethics/conducts, this is already not right.
anyway, haya tuyaache
Inategemeana na where you are standing from to define "what is wrong or right". Ndio maana jamaa yeue perspective yake kama "kumkosea Mungu".Whats wrong with this wakati hiyo ni thearapy ya kutibu stress za vitabu na boredom ili ubongo urudi upya, hujawahi kuona disco ya mapadiri wakicheza na watawa, tena ile dance ya mpaka chini.
Refreshment, acha uogaHawa vijana wataweza, Kuanticipate outcomes za wagonjwa na kuto improvise accordingly.
View attachment 3077165
Ulitaka wawe serious wavae uso wa mbuzi kama sanamu.!?Hawa vijana wataweza, Kuanticipate outcomes za wagonjwa na kuto improvise accordingly.
View attachment 3077165