Kuna siku utasikia I did everything but she/he died anyway!

Kwenye timu ya taifa ya Tanzania au unamanisha nchi zingine hearsay tu,........nitajie dakitari moja katika ligi kuu ya England anae cheza mpira mkuu, kuna kozi zingine hubakizi mda wa mazoezi ya kutosha

Mbona unachangua jibu litoke kwenye ligi kuu ya england tu ? Huku mimi nimeongelea timu za taifa ? Na olimpic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…