Kuna simu zinaitwa Aquous je zina ubora?

hiyo ukisogea nje ya mji network kisanga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nina sense 5g, ni ngumu balaa hii simu.
 
Alikwambia nani kama vitz ni gari ya mashindano?? Ulisikia wapi?
 
nje ya mji, network ya manati
uki restart simu, mtandao kusoma ni issue
ukimaliza call, hupatikani mpaka mda kadhaa upite
 
Simu za AQUOS ni mjapan wanaokwambia sijui mchina kafanyaje fanyaje ni wavivu hata ku Google kupata ukweli...
 
Kwahiyo sawa na Tecno ,Infinix na Itel
Hakuna kitu kwenye hizo Simu.
? Mimi nimeziona majuzi kwa hapa GEITA then nikazifanyia mchakato wakuzingalia GSM arena nimekuta zina proccesor kali ya Qualcomm ambayo naamini ni proccesor bora kwa Android .

Leo hii unasema hamna kitu , thibitisha sasa ??
 
Ni nzuri ukinunua kubwa zenye uwezo mkubwa, zipo mpaka za 5g lakini shida hazina spear na usije kusahau password utajuta kununua hiyo simu, maana hutoweza kuitumia Tena maana hakuna fundi anaeweza kuzitoa password hapa Tanzania
Huu ni uongo, ninatumia simu hii nilisahau password nikaifanyia restoration asubuhi tu
 
Jamani nileteeni hizo aqous niwatolee password
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…