Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 393
- 615
Ndo hiyo hiyo
Ndyo yenyewe senior
hii simulizi ipo kule habari na hoja mchanganyiko inaitwa "Niliyoyaona nilipofunguliwa macho"Wakuu napenda sana simulizi.
Hii simulizi mhusika alienda kijijini kwa babu yake. Akaenda kuishi pangolin siku tatu.
Alipewa ufunua na kuona ambavyo wengine hatuvioni. Kwa kifupi ni simulizi ya kweli kwa.mujibu wa mtunzi.
Naomba ambaye anaifamu anitag nayo.
Wasalaam
Jamaa wa Tanga .Wakuu napenda sana simulizi.
Hii simulizi mhusika alienda kijijini kwa babu yake. Akaenda kuishi pangolin siku tatu.
Alipewa ufunua na kuona ambavyo wengine hatuvioni. Kwa kifupi ni simulizi ya kweli kwa.mujibu wa mtunzi.
Naomba ambaye anaifamu anitag nayo.
Wasalaam
Wakuu napenda sana simulizi.
Hii simulizi mhusika alienda kijijini kwa babu yake. Akaenda kuishi pangolin siku tatu.
Alipewa ufunua na kuona ambavyo wengine hatuvioni. Kwa kifupi ni simulizi ya kweli kwa.mujibu wa mtunzi.
Naomba ambaye anaifamu anitag nayo.
Wasalaam
Na sasa naenda kuachia episode nyngne uzi wewe ni ule ule Simulizi: Nyuma ya mlango wa aduiMkuu fuatilia hata story za Abou Shaymaa na zenyewe ni za moto
TiMkuu fuatilia hata story za Abou Shaymaa na zenyewe ni za moto
Asante nimeona na nimeweka alama nilipoishia pg172hii simulizi ipo kule habari na hoja mchanganyiko inaitwa "Niliyoyaona nilipofunguliwa macho"
Bhaze, wanyamale! ino we hupagi simulizi, utubiirele!" ππYebhe mwana wa Mai,anye niliwoela wasu!