Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Hiii number ina nini?
Je, ni kweli hii number 13 ina mikosi?
Katika mbio za magari number 13 haipo
Guest house number 13 haipo!
Jezi number 13 ni nadra na Kama ipo ina walakini!
Ghorofa number 13 haipo, kwanini? Wamesahau au ina shida gani?
Taifa la Germany number 13 hata kwenye kalenda haipo!
Kwenye bus siti number 13 haipo
Kwenye ndege siti number 13 haipo ikifika 12 wanaruka 14 na kuendelea.
Ndege kubwa sana zaidi ya bombardier namaanisha kwa wale wanaosafiri mara kwa mara chunguza kwenye ndege kubwa Kama Emirates, Fly Dubai, Etihad, KLM, Qatar airways, British airways na nyinginezo hawana siti number 13.
Kwanini?