Kuna siri gani iliyojificha kwenye namba 13?

Lisemwalo lipo Kama halipo lipo njiani linakuja

C = 3
O = 15
R = 18
O = 15
N = 14
A = 1
_________________
6 66

[emoji31][emoji31][emoji125][emoji125][emoji125]
Misingi ipi hiyo ya elimu ya namba umetumia katika kufikia hiyo 666. Numerology uwa ina root numbers na master numbers.

666
6+6+6=18
1+8=9
 
Unaweza kuiona 13 kutokana na uelewa wako wa namba ni mkubwa kiasi gani maana kwa wengine hiyo ni 4 ambayo inasimama kama jiwe la msingi
13= 1+3=4
 
MwanaFA kazaliwa 13 March, Fid Q 13 August....au nawao wanamabalaa yao.
 
Unaweza kuiona 13 kutokana na uelewa wako wa namba ni mkubwa kiasi gani maana kwa wengine hiyo ni 4 ambayo inasimama kama jiwe la msingi
13= 1+3=4
Mkuu fafanua hapo kwny namba 4 kama jiwe la msingi.
 
ACHA KUKOPI NYUZI ZA WATU WE DOGO
 
Mkuu fafanua hapo kwny namba 4 kama jiwe la msingi.
4 uwa inawakilisha kujengwa kwa misingi mipya. Nitakupa mifano kidogo

Yesu alifunga siku 40=4+0=4

Waisrael walizunguka jangwani miaka 40=4

Ghalika ya Nuhu mvua ilikuwa siku 40=4+0=4

Baada ya kufufuka Yesu alikuwa duniani kwa siku 40=4+0=4

Yesu na wanafunzi wake walikuwa 13=1+3=4
 
Ni imani tu
Namba 13 inahusishwa na mikosi, Christians kwa mfano, inasemekana mtu mwa mwisho kuketi siku ya karamu ya mwisho, alikuwa yudah, na alikuwa ni mtu wa 13
Alikuwa bado abafukuzia dili so wenzake wakawahi siti 😎
 
Ahsante kwa elimu.
 
Lisemwalo lipo Kama halipo lipo njiani linakuja

C = 3
O = 15
R = 18
O = 15
N = 14
A = 1
_________________
6 66

[emoji31][emoji31][emoji125][emoji125][emoji125]
Carbon 6 neutrons 6 protons 6 electrons

Kitu kimoja kuhusu mzungu anaficha ukweli machoni.kwako.peupeee 666 ni mtu mweusi......kwa kifupi

Ijumaa ya biriani maleko
 
The number 13 is considered an unlucky number in some countries. ... Some believe this is unlucky because one of those thirteen, Judas Iscariot, was the betrayer of Jesus Christ.
============================================================================================================
https://www.history.com/news/whats-so-unlucky-about-the-number-13
============================================================================================================
 
Hapo kwenye siti za bus umetudanganya, namba 13 ipo. Labda haipo kwenye mabasi ya kwenda kwenu, sijui wapi!??
 
Mabasi ya siku hizi yakuwa na A1, A2, A3, A4 alafu inafuata B1, B2, B3, B4 nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…