Kuna siri gani kati ya pombe na kiingereza?

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Habari wana Jf,

Mwenye kuijua siri iliyopo baina ya pombe na Kiingereza aje hapa kutueleza maana haiwezekani kila mlevi anajua Kiingereza yaani hadi darasa la 7 akishalewa tu anatema ung'eng'e.
 
Oooh yes yes the things of drinking alcohol and talking england.

If you is want to talk england you is have to eat tea, not dry dry, drink tea and bread or stiff porridge.

Is you finish? Yes? Drink alcohol is called Banana. You is be speaking england no human has ever heard.

Trust me. I is a teacher of england.
 
umepita mule mule nadhani nawe ni miongoni mwao
 
Hamna siri mkuu, pombe inaongeza confidence/kujiamini au mara nying pia mtu akinywa anakua yeye ile undani wake unamtoka na kuonesha tabia yake halisi.
pombe ina mbwembwe sana
 
Mkuu unamaanisha pombe au Pombe......maana Pombe anatatizo kubwa sn na kiingereza

Maendeleo yana vyama lkn udikteta hauna vyama πŸ˜› πŸ˜›
 
Mkuu unamaanisha pombe au Pombe......maana Pombe anatatizo kubwa sn na kiingereza

Maendeleo yana vyama lkn udikteta hauna vyama πŸ˜› πŸ˜›
namaanisha pombe kilevi na sio jina la mtu
 
Habari wana Jf,

Mwenye kuijua siri iliyopo baina ya pombe na Kiingereza aje hapa kutueleza maana haiwezekani kila mlevi anajua Kiingereza yaani hadi darasa la 7 akishalewa tu anatema ung'eng'e.
Siyo Pombe na Kiingereza, bali ni Pombe na Foreign languages.
Hapo hakuna uhusiano bali ni ile hali ya ujasili inayoletwa na Pombe na kukufanya ufanye yale ambayo ulikua unajistukia au yanakufanya ujione duni kiakili. Pombe inatupilia kule hali yote.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]day umenichekesha mnoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…