Kuna siri gani kati ya pombe na kiingereza?

Kuna siri gani kati ya pombe na kiingereza?

Achana na hao ambao hawajui akilewa englishi ndo option yao.kuna wale wasomi tu wanajua english sana tu. Lakini hawaongei kiviile😂 mtu wa hivyo akipiga mzinga mmoja wa konyagi au wine zikapanda kichwani, anamimina english ilonyooka hakuna mfano.

Oh R.I.P sweetheart queen best yangu wa moyo. Huyu alikuwa akipata ka wine,utafurahi ananyooka english natamani kumrecord. Umbea wote tutapiga kidhungu dah.oh i miss this lady.
 
Back
Top Bottom