pombe ni nomaSiyo Pombe na Kiingereza, bali ni Pombe na Foreign languages.
Hapo hakuna uhusiano bali ili hali ya ujasili inayoletwa na Pombe na kujufanya ufanye yale ambayo ulikua unajistukia au yanakufanya ujione duni kiakili. Pimbe inatupilia kule hali yote.
kwa nini ndugu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]day umenichekesha mnoooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Oooh yes yes the things of drinking alcohol and talking england.
If you is want to talk england you is have to eat tea, not dry dry, drink tea and bread or stiff porridge.
Is you finish? Yes? Drink alcohol is called Banana. You is be speaking england no human has ever heard.
Trust me. I is a teacher of england.
Umenikumbusha mbali sanaaaaa, zama zangu nilikuwa nikitaka kumzingua mtu lazima nipitie kikombe japo kimoja kisha nikimuendea jamaa lazima kieleweke... sbbu ile pombe ikiisha kichwani ukiniuliza nimefanya nini sikumbuki kitu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa nini ndugu
kwa hiyo ushaacha?Umenikumbusha mbali sanaaaaa, zama zangu nilikuwa nikitaka kumzingua mtu lazima nipitie kikombe japo kimoja kisha nikimuendea jamaa lazima kieleweke... sbbu ile pombe ikiisha kichwani ukiniuliza nimefanya nini sikumbuki kitu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
broken english ndiyo lakini ni englishBroken English
hivi kwa nini pombe ikiisha hua hakipandi tenaHata Mimi Jana nilikua nakiongea ila Leo na mi hangover yangu sitaki hata kukisikia
mlevi mwingine utamsikia fu-ck me[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi sielewi hata,labda pombe Kuna batani inawashahivi kwa nini pombe ikiisha hua hakipandi tena
kuna uhusiano gan kati ya pombe na kiingereza sijui kwanin hawaongei lugha nyingine tofaut na kiingerezaunaweza kudhani anajua sana english kumbe ni mbwembwe tu za pombe
🤣🤣🤣🤣🤣hivi kwa nini pombe ikiisha hua hakipandi tena
inawezekana kuna ka-connection fulani maana haiwezekani iwe english pekee, utakuta mtu hakijui kabisa lakini atang'ang'ana na yes... no mpaka kielewekekuna uhusiano gan kati ya pombe na kiingereza sijui kwanin hawaongei lugha nyingine tofaut na kiingereza
tuwasubiri wajuzi wa mambo waje kutupa ABCMi sielewi hata,labda pombe Kuna batani inawasha
je unapokunywa ngeli haipandi?Mimi huwa naongea English nikikasirika yaani huwa natema ngeri mwanzo mwisho mpaka hasira zipungue
Mimi nikinywa nakuwa mpole wala sipendi kuongeaje unapokunywa ngeli haipandi?
basi we ni mlevi uniqueMimi nikinywa nakuwa mpole wala sipendi kuongea
Ok mkuu....namaanisha pombe kilevi na sio jina la mtu
hapo unakuta hata hajui maana ya akisemachomlevi mwingine utamsikia fu-ck me