Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,444
Ina wezekana ila kivipi mkuu?Shanga ndio password yao
Sema elimu ya asiri sio ushulirikina ππUkiacha imani za kishirikina hayo mambo hayawezi kukuumiza kichwa kabisa.
Hakuna elimu ya asili huo ni ushirikina.Sema elimu ya asiri sio ushulirikina
GoodAyo mambo yatatolewa kwenye nyumba za maskini tuu lkn hakuna nyumba ya tajiri vitatolewa ivo vitu naongelea hili nina ushuhuda nalo
Mkuu zingatia hapo juu nahitaji jibu kama huna ujuzi katika hayo inaweza kukaa pembeni nawe ukaji funza kituHakuna elimu ya asili huo ni ushirikina.
Kwahiyo unataka Kusema tuwaogope ma "she" wanao vaa chachandu?
Kuna mengi huyajui kuhusu utajiri na naweza sema labda Bado hujakuwa kwenye utafutajiAyo mambo yatatolewa kwenye nyumba za maskini tuu lkn hakuna nyumba ya tajiri vitatolewa ivo vitu naongelea hili nina ushuhuda nalo
Ni kweli ipo shida.Na siku hizi naona imekuwa fasheni watu kuvaa shanga mikononi,sijui hii imekaaje Mshana,hebu tusaidieHabari wakuu?
Tukiachana na hizi shanga wanazo vaa dada zetu mama zetu au mabinti zetu
Sijui na Sina hakika kama ni ulembo tu au Kuna mambo mengine ya ziada nyuma za shanga hizo lakini sizi zungumzii hizo shanga hapana
Nime shuhudia waganga wakienyeji wakiingia kwenye majumba ya watu wakitoa vitu kama pembe frani hivi lakini mala nyingi pembe hizo Huwa zime valishwa shanga
Lakini pia majarida mengi na matangazo mengi yanayo zungumzia
mambo haya ya Tiba hizi asiri. Huwa Yana onyesha picha za vyumgu au pembe zinazo kuwa zime valishwa shanga
Lakini si hivyo tu katika zunguka zunguka zangu kwenye kujitafuta Huwa na kutana Sana na hizi shanga
Sasa naomba kujua Kuna Siri Gani kati ya shanga na mambo haya ya elimu yetu asiria?
Shanga Ina nguvu Gani katika mambo haya na kwanini shanga tu??
Karibu wakuu tufunguane akili hapa πππ
Elaborate MshanaNi sawa na lubricant kwenye mashine
Siwezi kukaa pembeni na kujifunza ushirikina ni bora nikapita zangu na 150.Mkuu zingatia hapo juu nahitaji jibu kama huna ujuzi katika hayo inaweza kukaa pembeni nawe ukaji funza kitu
Sio vibaya ukifanya hivyoSiwezi kukaa pembeni na kujifunza ushirikina ni bora nikapita zangu na 150.
Hapana lengo nikujua tu ipi thamani ya shanga kwenye mambo haya mkuuKwahiyo unataka Kusema tuwaogope ma "she" wanao vaa chachandu?