Kuna siri gani katika sehemu ya pembe tatu ya shetani(bermuda triangle)

Cassnzoba

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2022
Posts
3,661
Reaction score
6,913
Wakuu habari zenu..........

Bila shaka wengi wetu tumekuwa tukisikia kuhusu bermuda triangle sehemu ambayo inapatikana bahari ya atlantic na huwa tunasikia kwamba meli yoyote ikipita eneo hilo basi huwa una uwezo wa kuzama na hata ndege inaweza kuvutwa na kuzama katika bahari hiyo....

Swali langu ni kwamba katika hiyo bahari yaan katika hilo eneo kuna nini ambacho kinasababisha maafa kwa vyombo hivyo vya usafiri ???
Nawasilisha mada kwenu jamiiforums greatthinkers💪💪🙏🙏
 
kutakuwepo mlango wa kutokea dunia nyingine, kuna watu wenye juzi maalumu wao hupita hapo na vyombo vyao huwa havizami
 
Sijawahi kufikapo, wala siwezi kusogea. Wale wataalamu wa mizimu hiyo ndio kazi yao, lakini wanakimbia kuwaachia wanasayansi. Wamezoea kutafuniwa kila kitu.

Bila shaka humu kuna wanaoamini mizimu na majini waje watuambie, wenzao waligundua mtandao kama huu, zamu yao
 
Kuna makala flani nilishawahi kuisoma kuhusu eneo hilo , inaeleza kua eno hilo inasemekana ina miamba mikubwa yenye asili ya usumaku wa asili( f23o4)

Upo sahihi, wengne wanasema hizo sehemu kunakuwa na mkondo wa maji kama pale nungwi ilipozama mv spice na hata raman zngine znaonyesha kwa alama N, kama sijakosea

hii mada imeshajadiliwa humu Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…