Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishawahi kumuona huyo shetani na hizo pembe?Wakuu habari zenu..........
Bila shaka wengi wetu tumekuwa tukisikia kuhusu bermuda triangle sehemu ambayo inapatikana bahari ya atlantic na huwa tunasikia kwamba meli yoyote ikipita eneo hilo basi huwa una uwezo wa kuzama na hata ndege inaweza kuvutwa na kuzama katika bahari hiyo....
Swali langu ni kwamba katika hiyo bahari yaan katika hilo eneo kuna nini ambacho kinasababisha maafa kwa vyombo hivyo vya usafiri ???
Nawasilisha mada kwenu jamiiforums greatthinkers💪💪🙏🙏
Kuna sehem ipo korogwe aliyopita sultan kimweri kwenye mtu mpk leo ukipita unavutwaHakuna hiko kitu bali ni illusion tu na propaganda
🤣🤣🤣Ngoja tumuulize Diddy