Kwamba hiyo alama N inamaanisha niniUpo sahihi, wengne wanasema hizo sehemu kunakuwa na mkondo wa maji kama pale nungwi ilipozama mv spice na hata raman zngine znaonyesha kwa alama N, kama sijakosea
hii mada imeshajadiliwa humu Jf
Okay mkuu
- The exact number of ships and airplanes that have disappeared in the Bermuda Triangle is not known. The most common estimate is about 50 ships and 20 airplanes.
- The wreckage of many ships and airplanes reported missing in the region has not been recovered.
- It is not known whether disappearances in the Bermuda Triangle have been the result of human error or weather phenomena hajawahi kujua
Ni yangu, usishughulike nayoMara 1 hiyo pP sitaki kuiona
Naunga mkono hojaKuna makala flani nilishawahi kuisoma kuhusu eneo hilo , inaeleza kua eno hilo inasemekana ina miamba mikubwa yenye asili ya usumaku wa asili( f23o4)
Akili zilizojaa mavy kama za huyu ..[emoji116]Great thinker sio kwamba iliisha 2010s huko? Sahv tuna members the likes ya Mshangazi na dogo wa kubet Football nahisi mada nzito hizi.
Anyway napendekeza Arsis ajibu hili swali
Ngoja tumuulize Diddy
Hii ni Conspiracy theory tukutakuwepo mlango wa kutokea dunia nyingine, kuna watu wenye juzi maalumu wao hupita hapo na vyombo vyao huwa havizami
Sitaki toa toa, siitakiiiππππππNi yangu, usishughulike nayo
Aaah wewe usisogee utaishia mbali π au unataka nani akaproveWe jamaa unataka nkafiee hukooπππππ
Hahaa π π πUsitegemee jibu la maana humu.
Utalambwa theory Hadi uvurugike.
Twende tukafanye utafiti hizi theory tunazosimuliwa hazieleweki.We jamaa unataka nkafiee hukooπππππ