Kuna siri gani katika sehemu ya pembe tatu ya shetani(bermuda triangle)

Ulishawahi kumuona huyo shetani na hizo pembe?
 
Ulishawahi kumuona huyo shetani na hizo pembe?
Sijawahi kumuona shetani maana si kitu halisi kuonekana kwa macho lakini hapo nilikuwa nasikia wanasema kwenda kwenye eneo hilo la bahari ya atlantic ni kutafuta kifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…