Bado sana maelezo hayatoshi kwa hio Yesu aliposema enyi kizazi cha nyoka alimaanisha?Lile neno kwenye vitabu kizazi cha nyoka kilikuwa kinaeleza kizazi cha maarifa na ujuzi
Siri kubwa iliyofichika kuhusu nyoka au mijusi wanapojitibia inatokana na dhana za kale za kijadi na kiimani (mythology), ambazo hazina thibitisho wa kisayansi. Kulingana na masimulizi ya kale ya jamii nyingi za Kiafrika, inaaminika kuwa wanyama hawa wana ufahamu wa siri wa mimea adimu ya tiba ambayo huitumia wanapougua au kujeruhiwa. Imani hiyo inadai kuwa ukimfuma kiumbe huyo akijitibia, anaweza kukudhuru ili kulinda siri hiyo ya asili.View attachment 3601924
sio wageni na logo hii kwenye huduma za hospital.Ila kuna sehemu nimegusiwa hawa viumbe kwa ujumla jamii ya reptile zote wana siri kubwa ya dawa ambazo kama tukiwagundua basi leo tunaweza kukichezea kifo mfano ukaweza kuota kiungo kama kimekatika,ukapona hata kama umekufa.Kuna sehemu nyingi sitaweza kutaja na inasadikiwa wapo wamejivisha ubinadamu.
Lile neno kwenye vitabu kizazi cha nyoka kilikuwa kinaeleza kizazi cha maarifa na ujuzi
Mtoa mada kakimbia hataki kabisa kutoa maelezoKuna mtu ataamini
Hapa kidogo nimeanza kukuelewa mkuu ila kwa mbaaali sasa alipokoroga mleta mada ni mwisho pale,Imani hiyo inadai kuwa ukimfuma kiumbe huyo akijitibia, anaweza kukudhuru ili kulinda siri hiyo ya asili.
Waumini wa Mwamposa na Mimi ni vitu viwili tofauti kabisa.Huyu jamaa bila shaka anasali kwa Mwamposa,anaonekana anapenda sana miujizaπππππ
Mimi ni mpenda kutoa roho za watu.Maisha niliyopo .Kuna kikundi cha siri mnasimuliwa sio vya serikali ila ni vya hapo ulipo kesho jina lako baada kupewa PHD urusi una itwa RIPHuyu jamaa bila shaka anasali kwa Mwamposa,anaonekana anapenda sana miujizaπππππ