Tatizo Ronaldo anawaumiza sana watu sababu ya misifa, ndo maana wanafanya kila mbinu wamchafue lakini mwenyewe halali, waingereza walijaribu kumchafua mpaka sasa wamemuacha
Hii picha aliyobebwa ni halisi kabisa, pia naona jamaa pensi imenyanyuka.hatari sana aisee....sipati picha wale vijana wanaomchukulia kama idol watajisiaje.
ndio maana Mimi ktk makuzi yangu.niliepuka sana kutumia macebrity weupe kama rolemode.
View attachment 309255Pumbafu, watu wakilewa mafanikio mwisho wa yote huwa ni use**nge.
Only in Tanzania people can jump on a train and believe for 120% what medias feed them. Inasikitisha Sana kuona watanzania wamekuwa victims wa social media wanashindwa kupambanua pumba na mchele.
Ndo hizi