Kuna siri gani kwa Christiano Ronaldo?

Kuna siri gani kwa Christiano Ronaldo?

ghona18

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
573
Reaction score
330
Kuna picha zinasambaa/zimesambaa kwenye magroup mengi ya whatssap zikimuonyesha CR7 akiwa kabebwa kimahaba na bondia wa MOROCO (ngumi na mateke) na nyingine wananyonyana ndimi na kushikana sehemu nyeti...
Kama hiki ni kweli anakifanya huyu mchezaji kina athari sana kwa jamii zetu hasa vijana ,
Nahizi kama cyo kweli nani yupo nyuma ya hiki na kwa manufaa gani ???
Anayejua zaidi atupe ufafanuzi kidogo
 
Nimeziona na mimi ziko 99% real but haya mateknolojia huwezi jua labda picha duka
 
Tatizo Ronaldo anawaumiza sana watu sababu ya misifa, ndo maana wanafanya kila mbinu wamchafue lakini mwenyewe halali, waingereza walijaribu kumchafua mpaka sasa wamemuacha
 
Tatizo Ronaldo anawaumiza sana watu sababu ya misifa, ndo maana wanafanya kila mbinu wamchafue lakini mwenyewe halali, waingereza walijaribu kumchafua mpaka sasa wamemuacha

Sasa hapo wanamchafua waingereza au anjichafua mwenyewe
 
hatari sana aisee....sipati picha wale vijana wanaomchukulia kama idol watajisiaje.

ndio maana Mimi ktk makuzi yangu.niliepuka sana kutumia macebrity weupe kama rolemode.
 
Pumbafu, watu wakilewa mafanikio mwisho wa yote huwa ni use**nge.
 
hatari sana aisee....sipati picha wale vijana wanaomchukulia kama idol watajisiaje.

ndio maana Mimi ktk makuzi yangu.niliepuka sana kutumia macebrity weupe kama rolemode.
Hii picha aliyobebwa ni halisi kabisa, pia naona jamaa pensi imenyanyuka.
 
dah ronaldo anapakatwa nowadays.ngoja nimkataze mdogo wangu kujiita CR
 
Only in Tanzania people can jump on a train and believe for 120% what medias feed them. Inasikitisha Sana kuona watanzania wamekuwa victims wa social media wanashindwa kupambanua pumba na mchele.
 
Only in Tanzania people can jump on a train and believe for 120% what medias feed them. Inasikitisha Sana kuona watanzania wamekuwa victims wa social media wanashindwa kupambanua pumba na mchele.

Hata kama anapumuliwa ni yeye. Sasa sijajua hawa wabongo wanaumia nini kugongwa kwa CR7
 
Griiiiiiii,
Ninahasira mbaya hapa,
Dume zima linapumuliwa kichogo!!!
Wazungu hamnazo aisee
 
Hukuna kitu kama hiki....hizi ni picha duka....embu tazameni hiyo ya tatubaliyoshikabkipochi aka kipima joto.....
 
hiyo habari iko kwenye gazeti huko SPAIN kwenyewe ni mwandishi wa kifaransa alikuwa anamfuatilia CR kitambo sana. na kuwa CR anasafiri sana kwenda moroco na kwa private ndege yake na kurudi usiku wake kwa ajili ya mazoezi asubuhi yake.
NA ALIPOULIZWA KUHUSU NCHI YAKE KURUHUSU USHOGA, ALIJIBU KUWA NI KITU KIZURI TU NA AMEFURAHI SABABU KILA MTU ANA HAKI NA KUFANYA ATAKACHO.
HIZO PICHA SIO PICHADUKA. NI REAL NA NDIO MAANA MPK SASA HAJAENDA MAHAKAMANI WALA KUSHITAKI GAZETI HILO. KWA WAZUNGU TEGEMEENI LOLOTE JAMANI WALA WAKO NA MATAMADUNI YAO YA KIJINGA SANA. THEY DNT BELIEVE IN GOD KAMA SISI TULIOLETEWA HIZO DINI. SO MSIPENDE SANA KUTAFUTA MA ROLE MODAL WA KIZUNGU COZ MWISHO WA SIKU UTAKUWA DISAPPOINTED SANA.
 
Back
Top Bottom