Nadhani huwa hawapo sawa kiakili kutokana na kuvunja maagano wanayofanya na Mungu tena mbele za umati mkubwa sanaa.
That is a pact a person makes with his Almighty God to serve him as his priest. A pact that can never be erased.
Na hakuna pact nyingine yoyote yenye hadhi na ukubwa kama hiyo ya kuweka mwenyewe kwa hiari kwamba wewe ni Mungu wangu na mimi ni mtumishi wa kondoo zako. Ukiikana au kuiharibu unafikiri inakuwaje?
Siri inatakiwa ibakie kuwa siri ndiyo siri itakuwa siri. Sasa ukiambiwa siri hiyo itakuwa siri kweli!!Nikiwa kama Kijana Mkatoliki sijawahi kujua kuna siri gani katika viapo vya wahudumu wenu ma Padre.
Je vile viapo vina nini? maana nimeona asilimia kubwa ya mapdre walioacha upadre wakiwa hawapo sawa kiakili yaani kama wamechanganyikiwa flani ivi!
Kingine Kuna ile kama wanalala kwenye mkeka wakati wanaapishwa kuwa Mapadre, ili ku pass upadre inabidi anyanyuke au asinyanyuke!
Kama kuna mtu anajua vyema hapa tafadhali tujuze!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Balozi Dr. Slaa unahitajika huku haraka.
Hapo umenena muumuni.Mie nimemwambia hivyo kaja juu eti niwe na akili basi, hapo hawezi kujua kila kitu lazima ayaishi hayo maisha ndiyo atajua, tuna ndugu zetu mapadre lakini huwezi muuliza swali kama hilo atakushangaa na kukutafutia vitabu vya kusoma basi
Usichokijua ni kama usiku wa giza. Sitaki kubishana....maana haitasaidia lolote.Utafanyaje pact na kiumbe ambacho hakipo?
Huo ni ukichaa kufanya kiapo na kiumbe ambacho haki exist...
Hajawahi ongea na wewe,hajawahi kukutuma chochote,etc...unabaki kuhisihisi tu na kuongea vitu vya kufikirika..."kanituma nije kuwachunga kondoo wake",kakutuma lini?umeongea nae lini?who,why,what and where?Kama sio kuchanganyikiwa tu?
Kisandu amenisikitisha sana,sina update zake hila anatahili apelekwe mirembe kupata matibabu na si mahabusu.Deogratius Kisandu Na Nabii Tito wasiwe case study
Ushirikina mtupu hakuna cha Mungu wala nini app.Tunaposema ni siri yatupasa kumalizia kwa kusema kwamba ni siri ya Mungu ktk kuwateuwa watumishi ili kuongoza kundi la watu wake duniani.ukipata nafasi ya kuzungumza na yeyote aliyeishia ktk hiyo nafasi ya kulala kifudifudi na kusomwa zile Novena atakueleza vizuri ninini kinachotokea ila hawa ambao walipita hawawezi maana wao tayari huwa ni wachaguliwa.hili jambo ni la kiimani na ni pana linahitaji elimu kubwa kidogo kulielezea hapa viatu havinitoshi.hapo kwenye kuwa hawahi sawa kiakili ni kuwa huwa wanakuwa wameingia nadhiri{viapo vikubwa}vy kumtumikia Mungu maisha yao yote,inawezekana ni namna ya Mungu kuonyesha hasira zake kwao kwa kutengua viapo vyao kwake.
Sawa sawa mkuu upo sawa kabisa,ni haki yako kusema hivi maana sivyo unavyoamini wala sivyo ulivyofundishwa.kila mtu ana kiwango chake cha imani tusisahau hilo.Ushirikina mtupu hakuna cha Mungu wala nini app.
Hauwez kuingia kwa Ant Christ then utoke swalama