Kuna Siri Gani Kwenye Kiapo cha Upadre!

Kuna Siri Gani Kwenye Kiapo cha Upadre!

That is a pact a person makes with his Almighty God to serve him as his priest. A pact that can never be erased.

Na hakuna pact nyingine yoyote yenye hadhi na ukubwa kama hiyo ya kuweka mwenyewe kwa hiari kwamba wewe ni Mungu wangu na mimi ni mtumishi wa kondoo zako. Ukiikana au kuiharibu unafikiri inakuwaje?
 
Ni pale unapoacha maisha ya 'kula bure' afu unaingia mtaani ukiwa na expectations kubwa bila kujua kwamba age yako nayo imeenda, afu unaanza kusoma ramani ya mitaa na bila kutegemea unakuta chaneli hazisomeki. Lazima udate, hamna cha zaidi.
 
That is a pact a person makes with his Almighty God to serve him as his priest. A pact that can never be erased.

Na hakuna pact nyingine yoyote yenye hadhi na ukubwa kama hiyo ya kuweka mwenyewe kwa hiari kwamba wewe ni Mungu wangu na mimi ni mtumishi wa kondoo zako. Ukiikana au kuiharibu unafikiri inakuwaje?

Utafanyaje pact na kiumbe ambacho hakipo?

Huo ni ukichaa kufanya kiapo na kiumbe ambacho haki exist...

Hajawahi ongea na wewe,hajawahi kukutuma chochote,etc...unabaki kuhisihisi tu na kuongea vitu vya kufikirika..."kanituma nije kuwachunga kondoo wake",kakutuma lini?umeongea nae lini?who,why,what and where?Kama sio kuchanganyikiwa tu?
 
Ni wito wa kujikatalia kwa lengo la kumtumikia mungu tu, mabadiliko yoyote nje ya kiapo kile ni kuanguka ktk kiapo cha utii kwa mungu na askofu ndiyo maana ukiacha kile kiapi bila utaratibu , maisha yatayumba na huwezi kuwa sawa ktk jamii.
 
Kuna mzee moja mtaani alikua anavaa smart sana lakini anatembea uku anaongea mwenyewe yani ka zimeruka flani hivi, kuchunguza kumbe alikua padri akaacha lakini anawatoto wapo so successful ila ye ndo hazimo...vile viapo si vya mchezo mchezo
 
Nikiwa kama Kijana Mkatoliki sijawahi kujua kuna siri gani katika viapo vya wahudumu wenu ma Padre.

Je vile viapo vina nini? maana nimeona asilimia kubwa ya mapdre walioacha upadre wakiwa hawapo sawa kiakili yaani kama wamechanganyikiwa flani ivi!

Kingine Kuna ile kama wanalala kwenye mkeka wakati wanaapishwa kuwa Mapadre, ili ku pass upadre inabidi anyanyuke au asinyanyuke!

Kama kuna mtu anajua vyema hapa tafadhali tujuze!
Siri inatakiwa ibakie kuwa siri ndiyo siri itakuwa siri. Sasa ukiambiwa siri hiyo itakuwa siri kweli!!
 
Mie nimemwambia hivyo kaja juu eti niwe na akili basi, hapo hawezi kujua kila kitu lazima ayaishi hayo maisha ndiyo atajua, tuna ndugu zetu mapadre lakini huwezi muuliza swali kama hilo atakushangaa na kukutafutia vitabu vya kusoma basi
Hapo umenena muumuni.
 
Utafanyaje pact na kiumbe ambacho hakipo?

Huo ni ukichaa kufanya kiapo na kiumbe ambacho haki exist...

Hajawahi ongea na wewe,hajawahi kukutuma chochote,etc...unabaki kuhisihisi tu na kuongea vitu vya kufikirika..."kanituma nije kuwachunga kondoo wake",kakutuma lini?umeongea nae lini?who,why,what and where?Kama sio kuchanganyikiwa tu?
Usichokijua ni kama usiku wa giza. Sitaki kubishana....maana haitasaidia lolote.
 
Unanitukana kwafaida ya nani sasa?
Kunitukana unajichumia dhambi ya bure ambayo hata kuingama hutaikumbuka
hahahahaa umefanikiwa kujidefend sipendi dhambi mkuu
 
" wahudumu wenu" halafu anajiita kijana mkatoliki.
 
Kiapo chochote uapacho husimamiwa na mungu unapo kivunja mungu hutoa majibu ya agano lako na uliye agana naye upande mmoja baraka na upande wa pili laana ogopa Kiapo katika maagano yako
 
Mbona wengi tu wako sawa si unaona mpk kapewa uwakilishi wa nchi . Labda uwataje ili tutazame nyendo zao kama haziko sawa.
 
Tunaposema ni siri yatupasa kumalizia kwa kusema kwamba ni siri ya Mungu ktk kuwateuwa watumishi ili kuongoza kundi la watu wake duniani.ukipata nafasi ya kuzungumza na yeyote aliyeishia ktk hiyo nafasi ya kulala kifudifudi na kusomwa zile Novena atakueleza vizuri ninini kinachotokea ila hawa ambao walipita hawawezi maana wao tayari huwa ni wachaguliwa.hili jambo ni la kiimani na ni pana linahitaji elimu kubwa kidogo kulielezea hapa viatu havinitoshi.hapo kwenye kuwa hawahi sawa kiakili ni kuwa huwa wanakuwa wameingia nadhiri{viapo vikubwa}vy kumtumikia Mungu maisha yao yote,inawezekana ni namna ya Mungu kuonyesha hasira zake kwao kwa kutengua viapo vyao kwake.
Ushirikina mtupu hakuna cha Mungu wala nini app.
Hauwez kuingia kwa Ant Christ then utoke swalama
 
Ushirikina mtupu hakuna cha Mungu wala nini app.
Hauwez kuingia kwa Ant Christ then utoke swalama
Sawa sawa mkuu upo sawa kabisa,ni haki yako kusema hivi maana sivyo unavyoamini wala sivyo ulivyofundishwa.kila mtu ana kiwango chake cha imani tusisahau hilo.
 
mtafute padri privatus karugendo anaweza kuwa na majibu mazuri.
 
Kusema hawako sawa kiakili si kweli, padri kalugendo yule wa bukoba yuko sawa tena sana, dk slaa yuko sana, father nkwera yuko poa...sijui unaowajua wewe lakini si kwasababu ya kuacha upadri....hata hivyo kuacha upadiri bado kuna nadhiri unaingia za kutunza siri za kanisa
 
Back
Top Bottom