Haaaa eti muumini viwawa kwa sanaHapo umenena muumuni.
Nakwambia hawezi kuongea chochotemtafute padri privatus karugendo anaweza kuwa na majibu mazuri.
Na iko siku, ikifika watarudi kutubu, kuna mmoja kwa macho yangu tumemkuta tena mie sikuwa najua kama alikuwa, ss alipotaka kurudi sindiyo tukajua tena mwanaye tulikuwa tunasoma wote nikauliza kwa baba akasema ndiyo kurudi ndani ya mwaka akarudisha majeshiKusema hawako sawa kiakili si kweli, padri kalugendo yule wa bukoba yuko sawa tena sana, dk slaa yuko sana, father nkwera yuko poa...sijui unaowajua wewe lakini si kwasababu ya kuacha upadri....hata hivyo kuacha upadiri bado kuna nadhiri unaingia za kutunza siri za kanisa
Haaa haaa ubarikiwe sanahahahahaa umefanikiwa kujidefend sipendi dhambi mkuu
ha ha ha haaaaa. kumbe unamatusi eee!!Daah Naeza kukutukana ila basi....swali langu likijibiwa nitakutukana
Novena maana yake ni TISA! ya kusali siku tisa katika Ukatoliki kuna aina za sala ambazo mtu kama anataka omba kitu basi atasali siku tisa mfululizo bila kuacha siku moja kuomba na muda mwingine uambatana na kufunga siku zote tisa....ujui nini unachoongea.Mkuu umeelezea vizuri sana ila hapo kwenye kipengele cha kulala kifudifudi na kusomwa Novena kuna kitu kikubwa zaidi ya hicho.jibu lake hapa haliwezi kupatikana labda aje mmoja alieishia ktk nafasi hiyo atueleze,japo nao kueleza ukaelewa huwa wanashindwa maana hili ni fumbo au tuseme ni jambo la ki-Mungu zaidi.
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.Balozi Dr. Slaa unahitajika huku haraka.
Duuuuuh......wewe hauna dini?Utafanyaje pact na kiumbe ambacho hakipo?
Huo ni ukichaa kufanya kiapo na kiumbe ambacho haki exist...
Hajawahi ongea na wewe,hajawahi kukutuma chochote,etc...unabaki kuhisihisi tu na kuongea vitu vya kufikirika..."kanituma nije kuwachunga kondoo wake",kakutuma lini?umeongea nae lini?who,why,what and where?Kama sio kuchanganyikiwa tu?
Duuuuuh......wewe hauna dini?
Hivi mkuu pale panakuwaga na mkeka kweli!? Navyojua mimi ile ni ibada ya kuwekwa wakfu na inaambatana na maagano kati ya Mungu na mtu mbele ya watu, na hufanyika madhabahuni sasa huwa hayavunjiki kwani huwezi tena kuwapata wale watu na yale madhabahu ili kuvunja huo wakfu.
Maneno funguo hapa ni ibada,wakfu,agano na madhabahu.(pata maana zake)
Ndiyo maana unaweza kusitisha/kusitishwa kuhudumu,lakini huwezi kutengua.
Mfano uliwahi kuwa mwanajeshi katika ngazi fulani utabaki hivyo kwani ulishajuzwa baadhi ya mambo ambayo hayatakutoka daima.
Only if you can define the key words then we can be in position to exchange ideas.Mkeka?Duh!!!!Maajabu ya karne haya!
Maagano na Mungu?Wapi mungu alishakuja kwenye sehemu inayoitwa madhabahu akaweka agano na mtu?Never!
Ni wanadamu waliojichagua wenyewe,walioamua kujikusanya sehemu ya nyumba waliyoiita kanisa,sehem ya mbele yenye ngazi za kupanda walipopaita madhabahu,wakakusanya vijana waliowsomesha madarasani na kuwaambia haya semeni nyie ni mapadre kuanzia leo!
Na hii ya mungu wenu kuchagua kipande kidogo cha ardhi duniani kilichojengwa kitu kinaitwa kanisa ndio mahali pakuweza kuongea nae ni vituko.Huyu Mungu atakua ni binadamu kabisa.
Mungu mchagua a piece of real estate eti ndio nyumba yakena infact hayumo humo,na hajawahi watuma wajenge chochote!
Only if you can define the key words then we can be in position to exchange ideas.
Hongera kwa kuwa na imani hiyoDini?Dada kua serious!
Dini ni group la watu waliojichagua wenyewe kwa utashi wao ili wawatawale wenzao ambao ni waumini!
Sasa basi,DINI ni for stupid people wanaohitaji kutawaliwa na wenzao!
Mungu hayupo,hajawahi ongea na binadamu yeyote kuhusu lolote asilani.Hakuna mwenye ushaidi wowote!Hajawahi tuma mtu au kiumbe chochote kije kifanye chochote hapa duniani,hakuna ushahidi wa hili!
Lets be serious jamani!
Kiapo cha ufukara siku hizi hakifanyi kazi..Wakati wanapopewa daraja la upadre kulala chini ya mkeka au dhuria maana ake ni kuifia Dunia! Yaani kuikataa dunia na mambo yake yote na kumfata Kristo.kuwa tayari kubeba msalaba nae.
Mapadre wana viapo vya utii,useja(no ndoa) na wengine Ufukara(kuwa watakuwa wasiomikiki mali yeyote ile katika maisha yao wakiwa katika Dunia hii)
Kuwa watii kwa viongozi wao(maaskofu na wakuu wa Mashirika yao(kama wakapuchini,wabenediktini etc)
Nadhani nimeweza kukupa mwanga kidogo
Hao watakuwa walisoma Seminary mpaka level ya philosophy wakaacha kabla ya Theology.. Ndio vichwa vyao huwa havitulizaniNikiwa kama Kijana Mkatoliki sijawahi kujua kuna siri gani katika viapo vya wahudumu wenu ma Padre.
Je vile viapo vina nini? maana nimeona asilimia kubwa ya mapdre walioacha upadre wakiwa hawapo sawa kiakili yaani kama wamechanganyikiwa flani ivi!
Kingine Kuna ile kama wanalala kwenye mkeka wakati wanaapishwa kuwa Mapadre, ili ku pass upadre inabidi anyanyuke au asinyanyuke!
Kama kuna mtu anajua vyema hapa tafadhali tujuze!
Upadre ni process ndefu baada ya form six Kuna malezi mwaka mmoja hadi miwili kulingana na jimbo au shirika.Alafu inakuja degree ya Philosophy inayochukua 3years...alafu tena degree ya Theology. Sasa wenye shida ni wale wanao ishia philosophy kwa kuwa philosophy yakufunza ku question kila kitu hata uwepo wa Mungu... Sasa mtu akimaliza Philosophy inabidi apate kitu kama ubatizo kwenye Theology as hapo anamjua tena Mungu...kwanini
Huenda baada ya kuonja utamu ambao aliukataa kwa miaka mingi ndo alidata na kujutia sana mpaka mpaka akawa punguani.Kuna mzee moja mtaani alikua anavaa smart sana lakini anatembea uku anaongea mwenyewe yani ka zimeruka flani hivi, kuchunguza kumbe alikua padri akaacha lakini anawatoto wapo so successful ila ye ndo hazimo...vile viapo si vya mchezo mchezo