Kuna Siri Gani Kwenye Kiapo cha Upadre!

Kuletewa demu mzuriiiiii anavua nguo afu anakudorishia full mapozi full kujipanuapanua ole wako isisimame upadre ndo basi tena



Cc Smart911
 
Kuletewa demu mzuriiiiii anavua nguo afu anakudorishia full mapozi full kujipanuapanua ole wako isisimame upadre ndo basi tena



Cc Smart911
Hakuna ukweli kwenye Hilo...moja ya kigezo cha kuwa padre ni uwe mwanaume kamili.. Una simamisha na hata asubuhi iwe yasoma 4G..kama husimamishi waondolewa mapema tu..kwa kuwa wapaswa kuepukana na vishawishi kwa kupambana navyo na si kujificha kwenye kichaka cha uhanithi
 
Unataka kusesema Mungu hayupo ndugu?
Najua huna sababu zaidi kunukuu falsafa za wapotofu na kanuni za wanasayansi ambazo zinagota kwenye "nguvu ya asili"
Najua huna sababu zaidi ya kuwa tu na kiburi cha afya na kipato kidogo ambacho unaamini unakipata kwa nguvu, akili na juhudi zako na si kufanyiwa wepesi na Mungu.

Mungu yupo hata kwa kufikirika tu ndugu,bila hata kuambiwa na yeyote kuwa yupo.

Ni heri unyamaze na uwaache wanaoamini waamini Kuliko kupinga wakati muda wako wa kuamini unakuja.hata kama umejifungia chumbani peke yako nafsi yako itakwambia kwa hili "HUYU NI MUNGU" si nguvu zangu, si ujanja wangu, si elimu yangu, si pesa zangu wala si kingine chochote.. No swala la muda tu
 

Na wewe unaweza nidhibitishia Mungu yupo?

Mimi nipo open,kama mtu anaweza nidhibitishia kua yupo basi nitaamini,ila mpaka sasa sijapata huo udhibitisho.Ni agnostic!

Kuhusu kusema kua nina kiburi cha afya,unakosea maana whether upende usipende hapa duniani lazima upitie matatizo na hatimae ufe,kua mzima au kutokua mzima,kua na matatizo au kutokua na matatizo hakuna uhusiano wowote na uwepo au kutokuwepo kwa Mungu!Mwanadamu ni moja ya viumbe hai kwenye hii universe,anazaliwa,anaugua,anakufa,hata usali mpaka magoti yakatike mawe hayawezi umwa,ni kiumbe hai ndio kinaumwa,huwezi kwepa hili!Walao sayansi inajitahidi kutuletea dawa walao kuepuka haya magonjwa na magonjwa hayaondoki kwa kupiga magoti na kuongea na vitu visivyokuwepo!

Huwezi dhibitisha kua Mungu yupo kwa "kufikiria",huo ni uwongo unataka kutuambia hapa!

Huwezi ita wanadamu wenzio "wapotofu" sababu hawaamini "dini" yako!Hayo ni matusi na ubaguzi!Dini yako ishakugeuza baguzi na mtu mwenye chuki tayari!

Kujifungia chumbani na kusikia nafsi inasema "huyu ni Mungu",hiyo ni hallucination inatakiwa ukapewe psychological help kuondoa hizo mwangwi za mawazo kwenye ubongo!Ni hali ya kawaida inawatokea wanadamu kabisa.Mungu haongei na wanadamu kwa hallucinations,ni ndoto,ni vitu visivyokuwepo in real world!

Halafu nyie watu wa dini,msiwe na kiburi namna hii cha kujifanya mna mamlaka ya kuwaelekeza wanadamu wengine cha kufanya na kutokufanya,ni wanadamu sawa na sisi,hamna mwenye mamlaka juu ya mwingine.Tuheshimiane.Na pia do not force what you believe into our throats!Leave us free just like u are free with what u believe!
 
Ushasema ni siri
Sasa sisi tutajuaje? Subiri mpka siri ivuje
 
Nilijua tu utakuja na falsafa za kina nanii, sawa ndugu kila mtu abaki lake, la muhimu tunapendana, tunashirikiana na hatudhuriani.
Maana hata mimi mtu nikilala naye asubuhi akanambia usiku ameota ndoto nikimwambia anithibitishie kama kweli Kaota la sivyo hakuna kitu ndoto kwa sababu hakithibitishiki, itabidi tu aniache, ili kuepusha majibizano yasiyoisha.
Nakutakia salama mkuu
 


Mkuu nashukuru kwa uelewa wako!

You are a class act!

Ila kwa kukusaidia vizuri naomba utafute ni nini maana ya "NDOTO" kisayansi ndio utaelewa hazina usuhusiano wowote na Mungu!

No relationship whatsoever!

Ila thanks alot man!
 

mkuu unaelewa nini niliposema " ole wako usisimamishe"?? in other words I meant unatakiwa kuwa mwanaume kamili usimamishe sio kukimbilia upadre sababu ya uhanissss




cc Smart911


nadhani point yako ipo mulemule nilipomaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…