Kuna Siri Gani Kwenye Kiapo cha Upadre!

Kuna Siri Gani Kwenye Kiapo cha Upadre!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Nikiwa kama Kijana Mkatoliki sijawahi kujua kuna siri gani katika viapo vya wahudumu wenu ma Padre.

Je vile viapo vina nini? maana nimeona asilimia kubwa ya mapdre walioacha upadre wakiwa hawapo sawa kiakili yaani kama wamechanganyikiwa flani ivi!

Kingine Kuna ile kama wanalala kwenye mkeka wakati wanaapishwa kuwa Mapadre, ili ku pass upadre inabidi anyanyuke au asinyanyuke!

Kama kuna mtu anajua vyema hapa tafadhali tujuze!
 
Tunaposema ni siri yatupasa kumalizia kwa kusema kwamba ni siri ya Mungu ktk kuwateuwa watumishi ili kuongoza kundi la watu wake duniani.ukipata nafasi ya kuzungumza na yeyote aliyeishia ktk hiyo nafasi ya kulala kifudifudi na kusomwa zile sala atakueleza vizuri ninini kinachotokea ila hawa ambao walipita hawawezi maana wao tayari huwa ni wachaguliwa.hili jambo ni la kiimani na ni pana linahitaji elimu kubwa kidogo kulielezea hapa viatu havinitoshi.hapo kwenye kuwa hawahi sawa kiakili ni kuwa huwa wanakuwa wameingia nadhiri{viapo vikubwa}vy kumtumikia Mungu maisha yao yote,inawezekana ni namna ya Mungu kuonyesha hasira zake kwao kwa kutengua viapo vyao kwake.
 
Tuposema ni siri yatupasa kumalizia kwa kusema kwamba ni siri ya Mungu ktk kuwateuwa watumishi ili kuongoza kundi la watu wake duniani.ukipata nafasi ya kuzungumza na yeyote aliyeishia ktk hiyo nafasi ya kulala kifudifudi na kusomwa zile Novena atakueleza vizuri ninini kinachotokea ila hawa ambao walipita hawawezi maana wao tayari huwa ni wachaguliwa.hili jambo ni la kiimani na ni pana linahitaji elimu kubwa kidogo kulielezea hapa viatu havinitoshi.
point!
 
Nikiwa kama Kijana Mkatoliki sijawahi kujua kuna siri gani katika viapo vya wahudumu wenu ma Padre.

Je vile viapo vina nini? maana nimeona asilimia kubwa ya mapdre walioacha upadre wakiwa hawapo sawa kiakili yaani kama wamechanganyikiwa flani ivi!

Kingine Kuna ile kama wanalala kwenye mkeka wakati wanaapishwa kuwa Mapadre, ili ku pass upadre inabidi anyanyuke au asinyanyuke!

Kama kuna mtu anajua vyema hapa tafadhali tujuze!
Wakati wanapopewa daraja la upadre kulala chini ya mkeka au dhuria maana ake ni kuifia Dunia! Yaani kuikataa dunia na mambo yake yote na kumfata Kristo.kuwa tayari kubeba msalaba nae.
Mapadre wana viapo vya utii,useja(no ndoa) na wengine Ufukara(kuwa watakuwa wasiomikiki mali yeyote ile katika maisha yao wakiwa katika Dunia hii)
Kuwa watii kwa viongozi wao(maaskofu na wakuu wa Mashirika yao(kama wakapuchini,wabenediktini etc)
Nadhani nimeweza kukupa mwanga kidogo
 
mzee kuwa na akili
Wewe ndiyo unatakiwa uwe na akili utauliza vipi watu wasiofika huko? Kama akili kweli unazo na unasali huko ungewauliza au nenda kasomee jiangalie kama una akili timamu usije ukawa kama nanihii vile
 
Daah Naeza kukutukana ila basi....swali langu likijibiwa nitakutukana
 
Wakati wanapopewa daraja la upadre kulala chini ya mkeka au dhuria maana ake ni kuifia Dunia! Yaani kuikataa dunia na mambo yake yote na kumfata Kristo.kuwa tayari kubeba msalaba nae.
Mapadre wana viapo vya utii,useja(no ndoa) na wengine Ufukara(kuwa watakuwa wasiomikiki mali yeyote ile katika maisha yao wakiwa katika Dunia hii)
Kuwa watii kwa viongozi wao(maaskofu na wakuu wa Mashirika yao(kama wakapuchini,wabenediktini etc)
Nadhani nimeweza kukupa mwanga kidogo
asantee mkuu endeleaa! kunipa somo
 
Nikiwa kama Kijana Mkatoliki sijawahi kujua kuna siri gani katika viapo vya wahudumu wenu ma Padre.

Je vile viapo vina nini? maana nimeona asilimia kubwa ya mapdre walioacha upadre wakiwa hawapo sawa kiakili yaani kama wamechanganyikiwa flani ivi!

Kingine Kuna ile kama wanalala kwenye mkeka wakati wanaapishwa kuwa Mapadre, ili ku pass upadre inabidi anyanyuke au asinyanyuke!

Kama kuna mtu anajua vyema hapa tafadhali tujuze!
Sasa umeshasema siri na utaka kuijua utaijuaje ??? Ukitaka jiunge uwe padri wakati unaapishwa ndipo hapo utakapoijua siri ya hicho KIAPO.
 
Mie nimemwambia hivyo kaja juu eti niwe na akili basi, hapo hawezi kujua kila kitu lazima ayaishi hayo maisha ndiyo atajua, tuna ndugu zetu mapadre lakini huwezi muuliza swali kama hilo atakushangaa na kukutafutia vitabu vya kusoma basi
 
Nikiwa kama Kijana Mkatoliki sijawahi kujua kuna siri gani katika viapo vya wahudumu wenu ma Padre.

Je vile viapo vina nini? maana nimeona asilimia kubwa ya mapdre walioacha upadre wakiwa hawapo sawa kiakili yaani kama wamechanganyikiwa flani ivi!
Mie sijui hayo mengine lakini hizo nilikuza ni nafsi mbili tofauti!!..
 
Wakati wanapopewa daraja la upadre kulala chini ya mkeka au dhuria maana ake ni kuifia Dunia! Yaani kuikataa dunia na mambo yake yote na kumfata Kristo.kuwa tayari kubeba msalaba nae.
Mapadre wana viapo vya utii,useja(no ndoa) na wengine Ufukara(kuwa watakuwa wasiomikiki mali yeyote ile katika maisha yao wakiwa katika Dunia hii)
Kuwa watii kwa viongozi wao(maaskofu na wakuu wa Mashirika yao(kama wakapuchini,wabenediktini etc)
Nadhani nimeweza kukupa mwanga kidogo
Mkuu umeelezea vizuri sana
 
Back
Top Bottom