Kuna siri gani kwenye mpira wa miguu?

Tujikite kwanza kwenye mpira, ndio hoja iliyopo, huko kwenye mikusanyiko mingine ya watu tutaweza kuangazia shughuli za shetani huko zimeingiaje. Kwenye mpira kasome kitabu cha mwandishi wa habari za uchunguzi aitwaye David Yallop, kitabu kinaitwa HOW THEY STOLE A GAME. Yameandikwa mambo mengi humo na tunayaona yakipromotiwa waziwazi whether we like it or not
 
Kwenye realm kuna kutu kinaitwa malango au lango,spiritual gates.
Kitu chochote au jambo lolote huanzia rohoni then linavaa mwili ndo mtu hukipata au jambo kutimilika. Sasa kila mtu ana lango lake la kuroho inamaana source ikitaka kuachilia kitu kwaajili ya mtu hupitia kwenye lango la rohoni la mtu husika kwanza kabla ya kuvaa mwilina kutimilika.
Footballni mchezo unao reflect jambo fulani la kupepo, wachawi na fallen angles na machine wachafu, mermaids nelphilims mothers au jinii mahaba wanazuia riziki za watu malangoni mwao kwenye realms, sasa onana anavo daka mpira usiingie langoni kwake, yeye ni gate keeper huzuiya zizik za forwards wa team pinzani.
mpira una jumla ya wachezaji kwa teammoja 12 team ingine 12 ambayo jumla ni 24 where 2+4="6" and more and more and more🙂
Waterbender
 
Hio supu imewauma sana
 
Kama michezo ni dhambi shule za dini zisingekua zina sessions za michezo
 
escapism theology.........
hata redio na tv wakati zinaanza tulisema za frimasoni, simu hivyo hivyo, mitabdao hivyo hivyo!

hospitali ni za kina nani?
magari tunayotumia ni ya kina nani?
nguo je? suti tunazozipenda viwanda wanamiliki kina nani? simu zetu je?

kanisa linalomsingizia shetani kila kitu ni kanisa lililofeli,......
 
Ni
Mpira ni ulevi kama pombe Kuna wanaolewa Kwa bia Moja na Kuna wengine mpaka kreti Moja.
Pombe pia wanatengeneza alcohol free yaani utakunywa haulewi yaani ligi za mchangani .
Hata dini kuna watu wanazilewa, yaan hawafanyi kazi wako busy na dini
 

Wapingaji wengi hawatumii akili wanatumia mihemko/emotions/feelings. Upande wa wahamasishaji au wanaokuza soccer wao wametulia wanatumia akili na kwa namna hii soccer itaendelea kutamba mpaka hapo wenyewe watakapoamua kuleta mchezo mwingine.

Kupinga vitu kwa emotions hakujawahi kufanikiwa angalia kwa mfano Pombe, fegi,kitimoto,pornography na hata LGBTQ wanaosambaza wanatulia na kutumia akili nyingi wakati wanaopinga ni emotions tu na hawana strategy.
 
Kuna dini ni ulaghai tu, yaani dini inapinga mpira ila inahamasisha kufuga majini!!

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Tu
Tuwekee hata logo kadhaa Uzi uwe na nguvu.
 
Wapigaji wa kidini wanaona wivu kwa kuwa kwenye mpira kuna amsha amsha.
 
 
Binafsi nimeacha kushabikia mpira naona kama ujinga flani hivi na upotevu wa muda.

Hivi mtu na akili zako timamu unashabikia wanaume wakikimbizana na ngozi iliyojaa upepo.
 
Kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…