Kuna siri gani kwenye mpira wa miguu?

Kuna siri gani kwenye mpira wa miguu?

Tujikite kwanza kwenye mpira, ndio hoja iliyopo, huko kwenye mikusanyiko mingine ya watu tutaweza kuangazia shughuli za shetani huko zimeingiaje. Kwenye mpira kasome kitabu cha mwandishi wa habari za uchunguzi aitwaye David Yallop, kitabu kinaitwa HOW THEY STOLE A GAME. Yameandikwa mambo mengi humo na tunayaona yakipromotiwa waziwazi whether we like it or not
 
Dini mbalimbali zinapinga mpira wa miguu na kusema ni satanic. Mpira unahusishwa na freemasonry ambapo logo mbalimbali zimesemwa kuwa na nembo za kishetani ndani yake. Wengine wameenda mbali na kusema mpira ni Ibada na waumini ni mashabiki.

Licha ya hili football bado inabaki kuwa mchezo pendwa duniani kote mpaka kwa Waarabu wapenda dini wamelevywa na mpira wa miguu na kuenda zaidi mpaka kuzinunua timu ulaya na kufanya uwekezaji mkubwa huko wakati waarabu na wazungu ni paka na panya.

Je, kuna siri gani kwenye mpira?
Kwenye realm kuna kutu kinaitwa malango au lango,spiritual gates.
Kitu chochote au jambo lolote huanzia rohoni then linavaa mwili ndo mtu hukipata au jambo kutimilika. Sasa kila mtu ana lango lake la kuroho inamaana source ikitaka kuachilia kitu kwaajili ya mtu hupitia kwenye lango la rohoni la mtu husika kwanza kabla ya kuvaa mwilina kutimilika.
Footballni mchezo unao reflect jambo fulani la kupepo, wachawi na fallen angles na machine wachafu, mermaids nelphilims mothers au jinii mahaba wanazuia riziki za watu malangoni mwao kwenye realms, sasa onana anavo daka mpira usiingie langoni kwake, yeye ni gate keeper huzuiya zizik za forwards wa team pinzani.
mpira una jumla ya wachezaji kwa teammoja 12 team ingine 12 ambayo jumla ni 24 where 2+4="6" and more and more and more🙂
Waterbender
 
Ogopa Sana kitu kikishavamiwa na waarabu ambao majini ni ndugu zao katika imani

Wananunua klabu kubwa za ulaya. Wananunua wachezaji wakubwa na kuwapeleka nchini mwao

Juzi kati Kuna watu wamenyweshwa supu. Jiulize kwa nini supu na sii chai Wala ugali?
Hio supu imewauma sana
 
Kama michezo ni dhambi shule za dini zisingekua zina sessions za michezo
 
escapism theology.........
hata redio na tv wakati zinaanza tulisema za frimasoni, simu hivyo hivyo, mitabdao hivyo hivyo!

hospitali ni za kina nani?
magari tunayotumia ni ya kina nani?
nguo je? suti tunazozipenda viwanda wanamiliki kina nani? simu zetu je?

kanisa linalomsingizia shetani kila kitu ni kanisa lililofeli,......
 
Ni
Mpira ni ulevi kama pombe Kuna wanaolewa Kwa bia Moja na Kuna wengine mpaka kreti Moja.
Pombe pia wanatengeneza alcohol free yaani utakunywa haulewi yaani ligi za mchangani .
Hata dini kuna watu wanazilewa, yaan hawafanyi kazi wako busy na dini
 
Dini mbalimbali zinapinga mpira wa miguu na kusema ni satanic. Mpira unahusishwa na freemasonry ambapo logo mbalimbali zimesemwa kuwa na nembo za kishetani ndani yake. Wengine wameenda mbali na kusema mpira ni Ibada na waumini ni mashabiki.

Licha ya hili football bado inabaki kuwa mchezo pendwa duniani kote mpaka kwa Waarabu wapenda dini wamelevywa na mpira wa miguu na kuenda zaidi mpaka kuzinunua timu ulaya na kufanya uwekezaji mkubwa huko wakati waarabu na wazungu ni paka na panya.

Je, kuna siri gani kwenye mpira?

Wapingaji wengi hawatumii akili wanatumia mihemko/emotions/feelings. Upande wa wahamasishaji au wanaokuza soccer wao wametulia wanatumia akili na kwa namna hii soccer itaendelea kutamba mpaka hapo wenyewe watakapoamua kuleta mchezo mwingine.

Kupinga vitu kwa emotions hakujawahi kufanikiwa angalia kwa mfano Pombe, fegi,kitimoto,pornography na hata LGBTQ wanaosambaza wanatulia na kutumia akili nyingi wakati wanaopinga ni emotions tu na hawana strategy.
 
Dini mbalimbali zinapinga mpira wa miguu na kusema ni satanic. Mpira unahusishwa na freemasonry ambapo logo mbalimbali zimesemwa kuwa na nembo za kishetani ndani yake. Wengine wameenda mbali na kusema mpira ni Ibada na waumini ni mashabiki.

Licha ya hili football bado inabaki kuwa mchezo pendwa duniani kote mpaka kwa Waarabu wapenda dini wamelevywa na mpira wa miguu na kuenda zaidi mpaka kuzinunua timu ulaya na kufanya uwekezaji mkubwa huko wakati waarabu na wazungu ni paka na panya.

Je, kuna siri gani kwenye mpira?
Kuna dini ni ulaghai tu, yaani dini inapinga mpira ila inahamasisha kufuga majini!!

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Tu
Dini mbalimbali zinapinga mpira wa miguu na kusema ni satanic. Mpira unahusishwa na freemasonry ambapo logo mbalimbali zimesemwa kuwa na nembo za kishetani ndani yake. Wengine wameenda mbali na kusema mpira ni Ibada na waumini ni mashabiki.

Licha ya hili football bado inabaki kuwa mchezo pendwa duniani kote mpaka kwa Waarabu wapenda dini wamelevywa na mpira wa miguu na kuenda zaidi mpaka kuzinunua timu ulaya na kufanya uwekezaji mkubwa huko wakati waarabu na wazungu ni paka na panya.

Je, kuna siri gani kwenye mpira?
Tuwekee hata logo kadhaa Uzi uwe na nguvu.
 
Wapigaji wa kidini wanaona wivu kwa kuwa kwenye mpira kuna amsha amsha.
 
Kwenye realm kuna kutu kinaitwa malango au lango,spiritual gates.
Kitu chochote au jambo lolote huanzia rohoni then linavaa mwili ndo mtu hukipata au jambo kutimilika. Sasa kila mtu ana lango lake la kuroho inamaana source ikitaka kuachilia kitu kwaajili ya mtu hupitia kwenye lango la rohoni la mtu husika kwanza kabla ya kuvaa mwilina kutimilika.
Footballni mchezo unao reflect jambo fulani la kupepo, wachawi na fallen angles na machine wachafu, mermaids nelphilims mothers au jinii mahaba wanazuia riziki za watu malangoni mwao kwenye realms, sasa onana anavo daka mpira usiingie langoni kwake, yeye ni gate keeper huzuiya zizik za forwards wa team pinzani.
mpira una jumla ya wachezaji kwa teammoja 12 team ingine 12 ambayo jumla ni 24 where 2+4="6" and more and more and more
 
Binafsi nimeacha kushabikia mpira naona kama ujinga flani hivi na upotevu wa muda.

Hivi mtu na akili zako timamu unashabikia wanaume wakikimbizana na ngozi iliyojaa upepo.
 
Ukubali usikubali mpira ni ibada ya sanamu viwanja vinajaa pomoni kuliko nyumba za ibada ya Mungu. Mpira umekuwa ni kiungo muhimu kuunganisha watu mbalimbali kuliko dini zilizozoeleka. Kila kona watu watu wanaongelea mpira. Mpaka wanawake wameingizwa huko tena wanaucheza katika haiba ya kiume kiasi cha kuwa kama wanaume huku wakiachana na haiba ya kike ambayo ni asili yao. Hata kuolewa kwao ni shughuli pevu, watafanyaje mapenzi wakiwa na haiba ya kiume kama si kuwa wapenzi wa jinsia moja? Mpira unatumika kupitisha ajenda mbaya za kishetani na hili lipo wazi linaonekana kuwepo kwa bendera ya kuunga mkono kampeni za mapenzi ya jinsia moja kwenye mchezo wa mpira.
Kazi ipo
 
Back
Top Bottom