Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angewataja kuwa mna patikana kwa wingi Keko (abandu ba keko) na External ningecheka saaana [emoji3][emoji3][emoji3]Angalau Wanyak Wa El Tukyu De Tandale hatjatajwa for the first time[emoji122]
Ugomv huo Ohoo!Angewataja kuwa mna patikana kwa wingi Keko (abandu ba keko) na External ningecheka saaana [emoji3][emoji3][emoji3]
Na wazaramo umewaacha wapi pande hizo?Kinyerezi wamejaa wanyalu, wana hadi kilabu cha kunywea ulanzi
Sio hukoo banaaPanaitwa Oysterbay mpenzi wangu
Masaki pale...Sio hukoo banaa
Penye nilikuja aki
MmmhhhMasaki pale...