Kuna siri ya mafanikio ya Yanga kwa kusaidia vituo vya watu wenye uhitaji maalum?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Na sio ndani ya nchi tu ni mpaka nje ya nchi, mfano kwa sasa timu ipo Algeria lakini ikiongozwa na Rais Hersi leo mchana walitembelea na kuwapatia mahitaji mbalimbali. kituo cha watoto wenye uhitaji maalum kiitwacho Orphans of El MOHAMMADIA kilichopo mjini Algiers,

Huo uzi mbona kuna mdau alishakuja kuelezea humu kafara za yanga zinavyofanya kazi
 
Akili za kipuuzi hizi, wakati Yanga inasajiri timu ya ushindi nyinyi alikuwa mnazurura tu Uturuki na kujibanza airport eti kuteka mchezaji, halafu leo mnasingizia makafara.

Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu, haya huyo Ngoma yuko wapi sasa na ana impact gani?
 
Back
Top Bottom