sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
NI kweli hawana jemaBinadamu hamna jema
Hata ukifanya Nini watu lazima wakukosoe tu
Huo uzi mbona kuna mdau alishakuja kuelezea humu kafara za yanga zinavyofanya kaziNa sio ndani ya nchi tu ni mpaka nje ya nchi, mfano kwa sasa timu ipo Algeria lakini ikiongozwa na Rais Hersi leo mchana walitembelea na kuwapatia mahitaji mbalimbali. kituo cha watoto wenye uhitaji maalum kiitwacho Orphans of El MOHAMMADIA kilichopo mjini Algiers,
Akili za kipuuzi hizi, wakati Yanga inasajiri timu ya ushindi nyinyi alikuwa mnazurura tu Uturuki na kujibanza airport eti kuteka mchezaji, halafu leo mnasingizia makafara.Huo uzi mbona kuna mdau alishakuja kuelezea humu kafara za yanga zinavyofanya kazi