junior Boi
New Member
- Mar 28, 2013
- 2
- 0
Msaada please,mdogo wangu ana shida kwenye organ yake ya kiume, imecease kukua, ana miaka 24 sasa lakini nyeti zake ziko ka za mtoto wa miaka 6, kuna suluhisho katika hilo tatizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu junior Boi Mpeleke huyo ndugu yako hospitali akangaliwe na Daktari hap asi rahisi kupata huduma.msaada please,mdogo wangu ana shida kwenye organ yake ya kiume,imecease kukua,ana miaka 24 sasa lakini nyeti zake ziko ka za mtoto wa miaka 6,kuna suluhisho katika hilo tatizo?
Mkuu Brightman Jr Habari yako?Ebu wasiliana na mtu mmoja humu Jf anaitwa MziziMkavu, mwandikie PM ana ujuzi wa mambo mengi ya kiafya huyo bwana mkubwa.
Mkuu Brightman Jr Habari yako?