vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Wachezaji wa Yanga wameingia kambini kwaajili ya kufanya mazoezi kujiandaa na msimu mpya ila hadi sasa Diarra, Musonda na Aucho hawajaonekana kambini na hakuna taarifa yeyote iliyotolewa kuna sababu zipi zilizowafanya wasiwepo. Program ya mwalimu inaendaje hivyo kwa wachezaji kutokamilikka?
Kingine kwanini wachezaji walioachwa hawatolewi taarifa rasmi mashabiki wajue ni kina nani waliochwa? Kuweni karibu na mashabiki wenu kwa kuwapa yanayojiri kwenye timu.
Kingine kwanini wachezaji walioachwa hawatolewi taarifa rasmi mashabiki wajue ni kina nani waliochwa? Kuweni karibu na mashabiki wenu kwa kuwapa yanayojiri kwenye timu.