Kuna sura hazijaonekana kwenye mazoezi ya timu ya Yanga hadi sasa

Usifikirie sana soka la tz utakosa majibu mengi sana Kisha hasira zitapanda we si unaona kina Singida na coastal wanapigwa kama Ngoma pamoja na sajili zao za kutamba
 
Mguu sawa!
 
Kosa siyo la Yanga, bali kanuni ndizo zinaweka idadi ya wachezaji wa nje kwenye timu. Kuna wachazaji wa nje tumewaacha kwa sababu ya idadi siyo kuwa hawafai.
Kwanini asingeachwa Azizi ki, hadi wamuache Guede wangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…