Bounty hunter
JF-Expert Member
- Feb 2, 2021
- 523
- 652
Nimepata fununu kua mwaka huu JKT raia walioomba ni wengi wanaangaika kuwapunguza.
Ndugu zangu, nyinyi mna taarifa gani?
Ndugu zangu, nyinyi mna taarifa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawataki wetu wengi this time mana ajira zikitoka wengi hawapatiNimepata fununu kua mwaka huu JKT raia walioomba ni wengi wanaangaika kuwapunguza.
Ndugu zangu, nyinyi mna taarifa gani?
Na vipi kuna walioanza kuripotiHawataki wetu wengi this time mana ajira zikitoka wengi hawapati
Na mashamba yao akalime nani mkuu, watu watachukuliwa wengi tuu kutokana na uwezo wao JKT kuwa-accomodate kulingana na mwaka husika, swala la kuwaajiri inajulikana ni kama betting tuuHawataki wetu wengi this time mana ajira zikitoka wengi hawapati
Kabisa zamani ndo ilikuwa deal.Jkt ni upuuzi yaani unasota miaka 3 afu unakuja kuishia kuwa mlinzi wa Suma jkt kwa ujira wa laki 2!!.
Watalima hao hao wachacheNa mashamba yao akalime nani mkuu, watu watachukuliwa wengi tuu kutokana na uwezo wao JKT kuwa-accomodate kulingana na mwaka husika, swala la kuwaajiri inajulikana ni kama betting tuu
Washapangiwa kambi,kuripoti washaanza piaNa vipi kuna walioanza kuripoti
Tuache bhana twende tukajionee wenyeweKijana amka kifikra muda utakao enda kuupoteza ungebaki uraiani ungefanya hata biashara TU mambo yangekuwa vizuri. Jeshi ni utumwa hakuna mwanajeshi tajiri labda awe jambazi mwisho wa Hawa watu Huwa ni mbaya sana. Ebu chunguzeni huko mitaani kwenu wanajeshi wastaafu wanaali Gani kimaisha...?