Kuna taarifa gani kuhusu JKT kwa kujitolea?

Kijana amka kifikra muda utakao enda kuupoteza ungebaki uraiani ungefanya hata biashara TU mambo yangekuwa vizuri. Jeshi ni utumwa hakuna mwanajeshi tajiri labda awe jambazi mwisho wa Hawa watu Huwa ni mbaya sana. Ebu chunguzeni huko mitaani kwenu wanajeshi wastaafu wanaali Gani kimaisha...?​
 
Tuache bhana twende tukajionee wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…