Kuna taarifa Wasira kujiuzulu

Kuna taarifa Wasira kujiuzulu

Mzee mzima wa kuanzia enzi za kale hadi enzi hizi ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya makamu mwenyekiti.

Tunasubiri tu barua ijibiwe na mtangaziwe
Ikiwa amevuka 60 yrs ni mstaafu ready
 
Back
Top Bottom