Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
Taasisi nyingi za serikali zinafanya kazi kwa mazoea, kiufupi hawajali kabisa kuhusu muda wa mteja. Utaambiwa Mtandao unasumbua, au rudi kesho kana kwamba leo wamesimamishwa kazi. Utafikiri hawalipwi mishahara. Kama hamtaki kutuhudumia si mseme, mnakera kweli.
Pia soma: Baadhi ya Taasisi za Serikali zimekaa kiupigaji zaidi badala ya kutoa huduma bora kwa wananchi
Nitatolea mfano DAWASA, kitengo cha wateja wapya (new connections) Hawa watu ni wababaishaji kupita maelezo. Wanakujibu wanavyotaka, Kama DAWASA haiwezi kuunganisha maji kwanini wasi -outsource kwa wakandarasi? Kuna watu wamemaliza miezi 6 na zaidi bila kuunganishwa. Huduma zenu mbovu.
DAWASA wabaki kuregulate maji, hizo kazi zingine wawape watu binafsi wanakera Sana.
Bado kwenye usomaji wa mita, dah. DAWASA MNABOA