Wakuu kuna taasisi moja ya umma nimeenda kupewa huduma nikapewa control namba nilipie ila nilichoambulia kila wakala anasema hii haiwezekani kulipa. Nikarudi kwa taasisi husika nikawapa cash wakanipa huduma. Ila ukihakiki ile control number inaonesha ipo invalid maana yake kuna wajanja wanakula hela.
Naomba kujua nitumie chanel gani kuweza kuripoti wizi huu kwa serikali? Maana hawa jamaa wanacheleweshea watu huduma kwa sababu ya tamaa zao, mtu unazunguka kwa mawakala, kwenye simu unajaribu kulipia control namba haisomi, halafu baadae kabisa ndo wanakuambia leta hela yako tukupe huduma haipo fair kabisa na serikali inapoteza mapato mengi sana.