Ndio maana hayo yakutuma dawa mtu na kwenda kuchukua dawa mbali na anapoishi yanaendelea. Mtu kuweka wazi afya yake anahofu kunyanyapaliwa.Wewe unachukulia wapi!?
Wachukulie tu ni kama vile wagonjwa wa pressure na kisukari ambao kila mwezi wanachukua dawa clinic bila kificho...Maisha bwana...
Mkuu wewe hili lina kuuma? Nadhan wanakwepa watu kuwanyanyapaa.
Nilitaka mtoa Mada aseme yeye anachukulia wapi!?maana aliona akienda hudumiwaNdio maana hayo yakutuma dawa mtu na kwenda kuchukua dawa mbali na anapoishi yanaendelea. Mtu kuweka wazi afya yake anahofu kunyanyapaliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji848][emoji848][emoji780]
Ni bure kwa hisani ya watu wa MarekaniHv ARV hua zinauzwa.? Au nisubir niukwae ili nikajue mbele huko.!