Kuna tabia naiona kwa Waathirika wengi wa VVU/ UKIMWI katika Hospitali kadhaa Dar. Je, kana faida gani?

Kuna tabia naiona kwa Waathirika wengi wa VVU/ UKIMWI katika Hospitali kadhaa Dar. Je, kana faida gani?

uzi wako umekaa kiunyanyapaa alafu huelewi kwanini wanafuata dawa umbali wote huo?

Ukimwi upo,epuka unyanyapaa
 
Wapuuzi wakubwa ni nyie wakina GENTA mnaowanyanyapaa huko mtaani amvapo hupelekea madhara makubwa kichwani mwao.
 
Sababu kubwa ni sisi jamii tuliojawa na unyanyapaa, kuhukumiana na kuonesheana vidole..
 
Hv ARV hua zinauzwa.? Au nisubir niukwae ili nikajue mbele huko.!
 
Back
Top Bottom