Kuna tabia nyumba za kupanga wapangaji wa kike kukaa karibu na njia ya kwenda chooni

Kuna tabia nyumba za kupanga wapangaji wa kike kukaa karibu na njia ya kwenda chooni

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Nyumba nyingi za uswahilini ujenzi wake mkubwa vyoo huwa uwani(nyuma ya nyumba).Lakini wapangaji wengi ugeuza sehemu kubwa ya kupumzikia.

Kama wapangaji wengine ushindwa kujiachia chooni kupiga matalumbeta na kufanya wengi tuwe na bawasiri tusizo zitegemea sababu ya kujibana tusitoe milio ya msondo ngoma.
 
Raha sana kuona wakiwa wamejipanga. Weye hujui tu.

Huko kwenu masaki huwa wanawake wanakaa wapi💭
 
Nyumba nyingi za uswahilini ujenzi wake mkubwa vyoo huwa uwani(nyuma ya nyumba).Lakini wapangaji wengi ugeuza sehemu kubwa ya kupumzikia.

Kama wapangaji wengine ushindwa kujiachia chooni kupiga matalumbeta na kufanya wengi tuwe na bawasiri tusizo zitegemea sababu ya kujibana tusitoe milio ya msondo ngoma.
Mkuu we ukiingia chooni fyatua mabomu tu wataongea, watacheka ila mwisho wa siku watakuzoea tu. Acha kujitesa na kujinyima uhuru.
 
Sehemu ambazo wanawake hupenda kukaa kwa sababu ya asili yao ya umbea na kufuatilia mambo ya wengine.

1. Kutandika mkea chini ya dirisha la chumba cha mtu kwa kisingizio kuwa pana kivuli kizuri. Nyuma ya pazia ni sehemu pekee wanayoweza kupata kusikia yanayoendelea chumbani.

2. Vibarazani ili kujionea wanaopita na kuweza kuwajadili kama topic ya siku hiyo.

3. Pembezoni mwa vyoo. Hii sijajua hadi leo ni kwasababu gani huwa wanapenda kukaa hayo maeneo. Hata kwenye nyumba self contained utaona wanapenda kaa kwenye zile chemba za choo cha ndani karibia na kidirisha cha choo. Huwa sijui wanataka kusikia harufu ya mzigo hata sielewi.
 
Bora wanawake wanakaa maeneo wanayolipia kodi. Wanaume sasa, unawakuta wamezagaa hovyo kila mahali, vivuli vyote wamejimilikisha, njia zote wanaziziba, wanakaa wakisubiri kusumbua wanawake wakipita.
 
Back
Top Bottom