Baba Kisarii JF-Expert Member Joined May 7, 2024 Posts 1,844 Reaction score 3,089 Mar 5, 2025 #21 Halembwe06 said: Maokoto Click to expand... Acha kulala, piga kazi maokoto yatakuja, ni aibu kwa mtu kama wewe kupanga uswahilini
Halembwe06 said: Maokoto Click to expand... Acha kulala, piga kazi maokoto yatakuja, ni aibu kwa mtu kama wewe kupanga uswahilini
H Halembwe06 Member Joined Feb 23, 2025 Posts 82 Reaction score 63 Mar 5, 2025 #22 Baba Kisarii said: Acha kulala, piga kazi maokoto yatakuja, ni aibu kwa mtu kama wewe kupanga uswahilini Click to expand... Nashukuru mkuu nitapambana
Baba Kisarii said: Acha kulala, piga kazi maokoto yatakuja, ni aibu kwa mtu kama wewe kupanga uswahilini Click to expand... Nashukuru mkuu nitapambana
Baba Kisarii JF-Expert Member Joined May 7, 2024 Posts 1,844 Reaction score 3,089 Mar 5, 2025 #23 NHC ni mali ya CCM kama vilivyo viwanja vya michezo nchi... Hapo anayetumika ni nani kama sio wewe unayekaa uswahilini badala ya kupambana na wezi ukae ushuwani.. Endelea kujitafuta ila hizo ni apartment za maza enu hadi pale mtakapomfurusha ikulu.
NHC ni mali ya CCM kama vilivyo viwanja vya michezo nchi... Hapo anayetumika ni nani kama sio wewe unayekaa uswahilini badala ya kupambana na wezi ukae ushuwani.. Endelea kujitafuta ila hizo ni apartment za maza enu hadi pale mtakapomfurusha ikulu.
EricMan JF-Expert Member Joined Oct 5, 2017 Posts 3,050 Reaction score 5,420 Mar 5, 2025 #24 Shing Yui said: Unaenda na kiredio cha mchina chenye kelele unafungulia then unajiachia Click to expand... Hii ndo Niliwazaga sana kuna siku nimeingia alafu ngoma ikapiga paratata nikaizuia aseee niligonganisha ndoo mpaka nkamaliza
Shing Yui said: Unaenda na kiredio cha mchina chenye kelele unafungulia then unajiachia Click to expand... Hii ndo Niliwazaga sana kuna siku nimeingia alafu ngoma ikapiga paratata nikaizuia aseee niligonganisha ndoo mpaka nkamaliza
Smart Guy JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 6,808 Reaction score 6,934 Mar 5, 2025 #25 Hii tabia inakera sana
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 Mar 5, 2025 #26 Mkuu kama umeniona vile, tena anaenda kufulia karb na choo unaamka zako weekend unakutana na kisanga kama hcho dadeki hua narud kutulia na mzgo wangu
Mkuu kama umeniona vile, tena anaenda kufulia karb na choo unaamka zako weekend unakutana na kisanga kama hcho dadeki hua narud kutulia na mzgo wangu