Sina haja ya kukomenti maana nilitaka kuuliza swali lenye mlengo kama post yako, swali langu ilikuwa liwe hivi."Tafuta hela ili uzeeni kwako usije ukaitwa mchawi/mwanga"
Kolola,Mzee mwenzangu Mohamed Said njoo uone hawa Watoto wanataka kutuchoma moto sasa
Wazee mkae chonjo, vijana wamevurugwa na uchumi wa katiKolola,
Nacheka peke yangu kama mwehu.
Mzee mwenzangu mimi naona niko salama kwa ajili ya ''life style,'' yangu.
Sidhani kama hawa vijana wa hapa mtaani kwangu Magomeni Mapipa wanaweza kunidhania mimi kuwa ''Gagula.''
Sijui wewe mwenzangu uko wapi.
Kijiini?
Mimi nipo kijijini huku Nakutogagwa na kwa vile bi mkubwa alinikimbia huwa napika mwenyewe. Taabu ni kuwa usukumani hatuna kuni na njia ya kupika ni kutumia samadi ya ng'ombe.Kolola,
Nacheka peke yangu kama mwehu.
Mzee mwenzangu mimi naona niko salama kwa ajili ya ''life style,'' yangu.
Sidhani kama hawa vijana wa hapa mtaani kwangu Magomeni Mapipa wanaweza kunidhania mimi kuwa ''Gagula.''
Sijui wewe mwenzangu uko wapi.
Kijiini?
Nkoyi!Mimi nipo kijijini huku Nakutogagwa na kwa vile bi mkubwa alinikimbia huwa napika mwenyewe. Taabu ni kuwa usukumani hatuna kuni na njia ya kupika ni kutumia samadi ya ng'ombe.
Macho yangu mekundu na tumbo limejisokota nina negative kitambi. Mavazi yenyewe Allah ndiye anjua. Sijui kama nitapona kuitwa mchawi
Mwanani?Nkoyi!